Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,822
Nauliza tu.
Eti ni kweli baada ya kuwa offline kwa kipindi kirefu jf imepoteza dira?
Eti ni kweli baada ya kuwa offline kwa kipindi kirefu jf imepoteza dira?
Nauliza tu.
Eti ni kweli baada ya kuwa offline kwa kipindi kirefu jf imepoteza dira?
Wastage of:Nauliza tu.
Eti ni kweli baada ya kuwa offline kwa kipindi kirefu jf imepoteza dira?
Wastage of:
-PEN
-paper
-TIME(u and users)
-LABOR and
-SPACE and
:rolleyez:
Mkuu punguza jazba kidogo. inawezekana mtoa mada ana hoja.Mikela's Join Date is Fri Feb 2010.........JF ipo toka 2006...haijapoteza dira.....ku update system sio kupoteza dira...MODS funga hii thread
Mkuu punguza jazba kidogo. inawezekana mtoa mada ana hoja.
Ni sahihi kuwa idadi ya wanaolog in imepungua lakini binafsi sina hakika kama umaarufu umepotea kwani kupungua kasi ya kulog in kwa members sizani kama ni kipimo sahihi cha kupima umaarufu wa JF.
Ndugu yangu,
Tusiwavunje nguvu wenzetu wanaojinyima usingizi hii kitu iwe bora.Wako watu pia hawalali wanataka kuiua hii kitu ndio maana Maxene and team wanabadilbadili mifumo kuiweka hai....hata mimi nilkisumbuka kidogo na mabadiliko haya lakini niliwaomba maelekezo na kutoa ushauri kuboresha...kuijadili hapa sio suluhu....sorry kama sikueleweka lakini nildhani mtoa hoja hajuai yale ya BCS na Jambo Forum amabapo watu walikamatwa pia.....kauchungu tu si jazba wala
Nauliza tu.
Eti ni kweli baada ya kuwa offline kwa kipindi kirefu jf imepoteza dira?
Kaka huo utafiti umeufanya lini? tuambie basi walikuwa wangapi na sasa wamebaki wangapi, mi nasema hivi jf ipo juu na hii ndo sehemu ya kusemea mambo yako kwa uwazi,Unachosema ni kweli kabisa angalia participation ya wale members maarufu waliyoinyanyua JF na kuiweka kwenye chati ambayo imekuwa ndogo sana na hata jumbe zinazotumwa zimepungua sana na pia idadi ya watu wanaokuja hapa na kulog in kwa siku si kubwa kama ilivyokuwa awali labda hali itabadilika.
Safari bana,kwanini mods wafunge hii thread?,unaogopa nini?.
Unachosema ni kweli kabisa angalia participation ya wale members maarufu waliyoinyanyua JF na kuiweka kwenye chati ambayo imekuwa ndogo sana na hata jumbe zinazotumwa zimepungua sana na pia idadi ya watu wanaokuja hapa na kulog in kwa siku si kubwa kama ilivyokuwa awali labda hali itabadilika.