Je ni kweli?

digodigo

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
255
178
Je yawezekana kujifunza na kuweza kuongea Lugha ya kiingereza kwa muda wa wiki tatu hapa bongo na kama yawezekana tufahamishane ni mahali gani hapo waheshimiwa? na ni kiasi gani?hii ni kwa mtu ambaye totally hajui abc
 
Anatumia lugha gani kwa sasa? kama ni kifaransa ama kijerumani (though am also shallow)...ninaweza kumfundisha mimi...bei kwakweli tutakubaliana! na masomo ni monday to friday 6pm to 7pm au weekends..tunaweza kuongea zaidi!
kama ni kiswahii.......well, naye pia though sina experience tunaweza jaribu.
 
Anaongea kiswahili,je wewe una profession gani na wapi unapatikana?
 
Wiki tatu ni muda kidgo sana kwa mtu asiyejua kabisa abc za kiingereza. Atenge angalau muda wa miezi 4 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom