Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
Jana hapa mtaani kwetu tulipokuwa tunabadilishana mawazo ikaibuka mada kuwa akina dada wasomi kuanzia kiwango cha digrii na kuendelea eti wengi wao huwa hawaolewi na hata wakiolewa huwa umri wao huwa umeenda sana.Naomba wana jf wenzangu mtoe maoni yenu kuhusiana na hili suala.