Wi-Fi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,091
- 1,378
hahaha mie wala siogopi ngoma...ni ugonjwa kama mwengine tuu. nikiupata na mie nitasambaza.
shindwa na ulegee hicho kiungo muhimu..
hahaha mie wala siogopi ngoma...ni ugonjwa kama mwengine tuu. nikiupata na mie nitasambaza.
Umofia kwenu wanabodi,
Kukumbushana sio mbaya jamani,kwa wale wapenda chovya chovya muwe makini na watoto wa mama salma huko mavyuoni,wapo karibu vyuo vyote pale CoeT walijiunga kama FUSP and the like! Hili janga ni kubwa tukiendelea kufichaficha ndio tatizo linazidi kuwa kubwa,huu ugonjwa unapoteza/unarudisha nyuma ndoto za vijana!! Vunja ukimya it begins with you.
Mi jamaa zangu wanne wameangamia wanaishi kwa matumaini
Mkuu umesaau kumalizia, tangazo hili limeletwa kwenu na TACAIDS wakishirikiana na watu waishio marekani.
huu ni unyanyapaa. You have your own responsibility kutofanya ngono nzembe.
Mimi hii term ya ngono nzembe huwa inaniacha njia panda,mie ntakuwa nafanya ngono kakamavu sasa
Tulizana...........
watu8,ni watoto walioathirika tangu wamezaliwa, wamepewa msaada na mama salma kusomeshwa vyuo,kama cbe dodoma wamepelekwa 80 na mkuu wa chuo aliwaambia kabisaaaa wanafunzi wawe makini
watu8,ni watoto walioathirika tangu wamezaliwa, wamepewa msaada na mama salma kusomeshwa vyuo,kama cbe dodoma wamepelekwa 80 na mkuu wa chuo aliwaambia kabisaaaa wanafunzi wawe makini
Watoto wa mama Salma ndio watu gani hao???
Umofia kwenu wanabodi,
Kukumbushana sio mbaya jamani,kwa wale wapenda chovya chovya muwe makini na watoto wa mama salma huko mavyuoni,wapo karibu vyuo vyote pale CoeT walijiunga kama FUSP and the like! Hili janga ni kubwa tukiendelea kufichaficha ndio tatizo linazidi kuwa kubwa,huu ugonjwa unapoteza/unarudisha nyuma ndoto za vijana!! Vunja ukimya it begins with you.
Hata huku chuo cha ukutubi (SLADS) bagamoyo wako wengi sana, wanaziuza kama njugu!!
Mie nimeshawapoteza washkaji wawil ivi ivi!!!
ukishaupata mpe taarifa mama Salma Kikwete ili nawe akusomeshe level iliyo juu yakohahaha mie wala siogopi ngoma...ni ugonjwa kama mwengine tuu. nikiupata na mie nitasambaza.
Kwa wewe tayari au bado?pole bado nawewe
mbona wapo toka kitambo kama sikosei toka intake 2011-2012Duh! Sikuwa nafahamu hao watoto! Imenishtua sana. I'll convey this msg to my young bro's waliopo chuoni. Thanx!