Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

hii ni kweli kabisaaaaaaaaa.mimi niliambiwa na Ndugu yangu wa karibu aliye maliza TUmaini University miaka miwili iliyo pita, na kipindi hicho walikuwa wamewapa jina la mfuko wa mama Mkapa. ila hii sio Tatizo maana na wao wanahaki ya kupata elimu.cha muhimu ni sisi kuwa waaminifu.katika maisha ya mahusiano na kujiheshimu vinginevyo we are finished.
 
Sasa kaka wakiishi hiyo miaka 30-40 na huku wanagawa kama pipi, huko mbeleni taifa zima si litaangamia?[/QUOT
Hata kama wanagawa kama pipi kwani unalazimishwa? Si una hiari kuchukua mwenyewe? Kikubwa ni kuwa makini si vyuoni tu bali kuanzia shule za misingi na huko mitaani tunakoishi wapo na wengine walizaliwa navyo. Ukiyapenda maisha basi ishi kwa tahadhari kubwa na kama huwezi kujizuia na unaona kila mwanamke ni chombo cha kustarehea matokeo yake yatakuwa hayo!
 
Sasa kaka wakiishi hiyo miaka 30-40 na huku wanagawa kama pipi, huko mbeleni taifa zima si litaangamia?

Jamani hata kama wanagawa kama pipi wanakulazimisha? Lazima tuwe makini tamaa tusitangulize mbele, tuishi maisha ya kumwogopa Mungu. Hata kama unamtaka basi fuata procedure zote ikiwemo kupima na kutumia kinga kama huwezi kujizuia, Pengine nawe unawanyoshea kidole tu wenzio lakini hujachukua hatua ya kupima.
 
Mi sihitaji kulijadili jambo hili kwani hakuna hata mmoja mwenye uhakika kwa 100% ila ushauri wangu kwa wanajamii wote kuwa, UKIMWI UPO NYUMBANI, SHULENI, VYUONI, MAOFISINI NA KATIKA MAENEO YOTE YA BIASHARA. Kitu muhimu ni kuchukua tahadhari wakati wote na mahali popote kwani UKIMWI hauna itikadi, dini, umri, tajiri au maskini, na Tumuunge mkono Mh. Rais JK kukabiliana na ugonjwa huu.
 
Nadhani mtoa mada ameshindwa kutofautisha kati ya muathirika wa Ukimwi na kujiunga chuo.
Mtu anajiunga chuo akiwa na sifa za kujiunga chuo, ni ngumu kujiunga chuo kwasababu tu umeathirika na huku huna vigezo vya kujiunga. Kwa hiyo unaposema Salma amesambaza wasichana walioathirika kwenye vyuo unataka kutuaminisha kwamba aliwakusanya kwa kuwa walikuwa na sifa ya kuathirika na kuwadistribute kwenye vyuo. Lakini pia Salma hana influence yoyote ile ya kuwezesha watu kujiunga vyuo. Ni sifa (performance) ya mtu tu inayomwezesha kuwa admitted chuoni.
Kwa hiyo pengine tuseme kuwa asilimia kubwa ya mabinti vyuoni wameathirika lakini tusiseme kuwa wamepelekwa vyuoni kwa kuwa wameathirika na kubashiri wenyewe kuwa aidha kuna lengo flani.
 
Hii stori ni kweli.kuna mfuko wa mama mkapa na wa mama kikwete wa kuwasomesha wanafunzi wa kike walioathirika na VVU. Chuo cha Kata UDOM wapo wa kumwaga, UDSM, Changombe,Mkwawa na Tumaini.kazi kwenu vijana kuwa mwacho na mzingatie kilichowapeleka shuleni.Lengo kuu ni kuwasaidia ili nao waweze kujiinua kimaisha mbeleni.Tabia ya kupiga wenzenu EXILE mkome kabisa zingatieni masomo acheni tamaa za ngono.
 
Habari zenu wadau poleni na mapumzuko, Wanajamii naomba mnisaidie hili jambo. kila Chuo kikuu hapa Nchini utaambiwa kuna wanafunzi wenye virusi vya ukimwi wanasomeshwa na Mama Salma Kikwete lakini ukienda vyuoni hupati hata mmoja anaehusika na hili jambo, UDOM ndo wanasema wapo wengi ikifuatiwa na UD Kisha Mkwawa,
maswali ya msingi
Mama Salma amewapata wapi hao wanafunzi wenye vvu zaidi ya 5000?
Mama Salma hana kazi anapata wapi hela ya kuwalipia hao wanafunzi?
Nani anawaibua hao wanafunzi kutoka sehemu mbali mbali hadi kwa Mama Salma?
Mama Salma mwenyewe sijawahi kumsikia akilizungumzia hili swala je halijui?

maoni yangu juu ya kadhia hii ni kwamba, hili ni propaganda ya kisiasa yenye lengo la kutaka kumjengea sifa huyu Mama ili watanzania wamuone ni mtu wa Maana.
ila kama ni kweli basi Mungu ambariki Mama huyu.
 
Story tu mtu wangu, salma Kikwete alikuwa mwalimu hata kama anawalipia hizo hela kapata wapi? Ni za Walipa kodi tu acha tuumie na Ujinga wetu mtu wangu....
 
Hii ni kama fununu/tetesi, tupe source kdg ya taarifa kamili ili nasi tunaweza kuifanyia research mkuu.
 
hii ni kweli na amefanya vema, na ikiwa anatumia kodi zetu pia si tatizo. kwani hao wanafunzi pia ni watz. kama anatumia hela za wafadhili pia si tatizo. na jinsi alivyo wapata ni jambo jingine ambalo atapaswa kujibu.
 
Hizi ni habari ambazo zipo mtaani lakini bado hazijathibitishwa, na hapa kuliwahi kuwa na mjadala wa hii ishu.
 
Unaongelea watoto wa "salma",....hao naskia ni waenezaji wakubwa wa virusi ila sijui anawapata wapi au nani anawapeleka kwake kweli!

Naskia wengi wao wananyoa upara au kukata nywele,ni warembo kweli kweli ukifumba macho unaanguka
 
hivi Ni kweli au nistory tu za Mitaani...

nNimeskia eti Huwa Kunampango Kila Mwaka Mademu wenye VVU husambazwa Vyuoni !!!!

Mwenye Facts afunguke!!!

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!
 
Back
Top Bottom