Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

Hilo ni kweli na linafanywa na mh.Hawa Ghasia,kwani pale mtwara aliwapeleka wasichana wapatao 70 wenye vvu akiwaambia wakifika chuoni wajitambulishe kwa wenzao, lkn wapi vitoto vimeuchuna na vinagawa uroda kama hawana akili nzuri, na watu wanajivinjari navyo kwenye mabaa.
 
kama reality ndo unaitwa unyanyapaa basi na uwe. Ukimwi unasambaza ila hamna wa kulaumiwa,nieleweke wazi,hata wanachuo wenyewe wenye VVU Wanakili ukweli huu,wala si kunyanyapaa..ila kama ukweli ni unyanyapaa basi na iwe ili mradi caution imetolewa!

Mdau ukimwi hauambukizwi kwa njia ya hewa au kwa kukaa na waathirika darasani! Hata kama tukiwafukuza huko vyuoni mbona mtaani tunakaa nao? Tuache ngono zembe hilo ndo la maana haya mengine hayana maana
 
QUOTE=muhadhiri;1435854]mimi kama muhadhiri chuo kikuu siamini kama kuna kitu kama hicho, labda ni msaada tu kwa wanawake ili wajikomboe kielimu[/QUOTE

MUHADHIRI Napata shida sana na uhadhiri wako ili hali unatuharibia lugha yetu, kama utaendelea kujiita MUHADHIRI sawa ila si uingize muhadhiri kwenye michango yako! ni kupotosha wana jf kuhusu neno hilo. Mtoa mihadhara anaitwa MHADHIRI na hii ni kutokana
na U inatoweka endapo irabu hiyo inafuatwa na konsonanti ambayo si ghuna (- kon). si lengo langu kufika huku ila sipendi wataalamu kama hawa kuchafua lugha.
 
ni kweli anawasomesha hao walioathirika ila watu wanaleta maana zingine wazijuazo wao..

kama wana ngoma we anakuzuia nini kusoma? hata kama anagawa kama pipi sidhani kama wanabaka au kulazimishia
 
hiyo ni kweli, hata me nilipokua cbe dodoma, kulikua na onyo kama hilo, pia na ikatoka mpaka kwenye gazeti..
Ushahidi angalia bango hapo chuo la tahadhari,
ukiichunguza vizuri hyo picha ya wanachuo waliograduate na majoho yao, imepigwa kwenye mandhali ya hotel ya mama anna mkapa iliyopo pembeni ya ofisi za rc dar..
lamadah hotel
 
Kaka unajua nlikua najaribu kuangalia hizi effects zina maana gani huko mbeleni..naona kama umuhimu wa kukataza maambukizi mapya unawekwa pembeni na badala yake nguvu kubwa unaelekezwa kwene ARV, kupima,kupinga unyanyapaa na mambo kama hayo.

Kutumia ARV na kuishi miaka 10-30 sio ishu, ishu ni kwamba taifa linazidi kuwa na waathirika kama hakuna mbinu za kuzuia maambukizi mapya. Waathirika wakiongezeka mwishoe tutakosa wazazi wenye afya au watu wenye uwezo wa kuzaa, na ndio taifa litakapopukutika na kufikia ukingoni.

ndio taifa linazidi kuwa na waathirika ila hao waathirika wanahitaji elimu na huduma nyingine za jamii.
Bila kuendelezwa kielimu watakuwa ni tegemezi kubwa kwa taifa. Acha wapewa nafasi za kusoma, kufanya kazi etc.
Naona kama hujafurahishwa na kitendo cha FL lakini imagine wewe ndio ungekuwa miongoni mwa hao watoto yaani una uwezo na utayari wa kusoma halafu unyimwe fursa kisa una VVU ambavyo inawezekana ulizaliwa navyo.
 
Ni kweli na Je leo ukiwanyima Elimu kesho Dawa ya Ukimwi ikipatikana itakuwaje? Cha Muhimu wapewe Elimu tu ili waweze kuwalindawengine wasioadhirika hakuna haja ya kuwanyanyapaa kamwe! Leo tunaweza kuwanyima haki ya kusoma kesho wakaishi maisha ya Taabu zaidi hivyo tuendelee kuwa nao ila wapewe Elimu zaidi ili kupunguza Maambukizi Nchini.
ndio taifa linazidi kuwa na waathirika ila hao waathirika wanahitaji elimu na huduma nyingine za jamii.
Bila kuendelezwa kielimu watakuwa ni tegemezi kubwa kwa taifa. Acha wapewa nafasi za kusoma, kufanya kazi etc.
Naona kama hujafurahishwa na kitendo cha FL lakini imagine wewe ndio ungekuwa miongoni mwa hao watoto yaani una uwezo na utayari wa kusoma halafu unyimwe fursa kisa una VVU ambavyo inawezekana ulizaliwa navyo.
 
Wadau huo ni ukweli mtupu na ni kupitia mfuko wa mama SALMA jk kupitia TACAIDS ambao unalengo la kuwaendeleza waathirika wa UKIMWI ili waweze kujikimu kimaisha. MIMI nikiwa nasoma demu wangu alikuwa ananiambia sana kuhusu hilo akisisitiza ni siri sana, kwamba ameambiwa na WADENI ambaye alikua ndugu yake. Mimi awali nilikua siamini nikiona labda anataka ni take-care na vi-1 yr lakini moyo ulikuja kufaganzi rafiki yangu alipomtongoza nesi wa HOSP YA CHUO akamkubalia na ndipo alipompa ukweli na kumsihi atulie kwani 1st ea wengi wameoza. kwa mojibu wake,
wasichana hao wametawanywa vyuo mbalimbali kama ifuatavyo;
UDOM wako 1000 (2009/2010)
UDSM wako 700 (" " )
MZUMBE 700 "
MKWAWA 500 "
DUCE 500 "
na vingine ambavyo idadi yao ni ndogo.

Vilevile alisema wanapewa chakula (au fedha kwa ajili ya chakula), dawa na huduma nyingine binafsi.

Hapa mtasema mengi na kama hakuna objectivity katika hili basi mtakwaza watu wengi tu kwa habari isiyokuwa na ukweli.Fikiria hivi:
1.Watu wenye VVU Tanzania hasa rika la ujana na umri wa kati ni kubwa.Kufuatana na Takwimu za 2009, Kiwango cha maambukizi kilishuka kutoka 7% 2004 hadi 5.7% na wanawake ndio waathirika zaidi.Hii idadi ni kwa waliopima na tukumbuke wengi hasa wanaume hawapimi.
2. Watu wenye VVU wana haki na fursa za kusoma kama wengine kwa maana kuwa na VVU siyo mwisho wa maisha.Wasichana wenye VVU wanastahili kuwamo vyuoni kama wengine.
3. Kwa wenye VVU waliopima na kujua hali zao na kujitangaza wana fursa zaidi kusaidiwa kuliko walio waliojificha baada ya kupima, au wale wasiotaka kujua hali zao. Taasis ya WAMA ya mama Salma haina lengo la "kumwaga" wasichana wenye VVU mashule bali, kama zilivyo taasis nyingine wanaweza kusaidia hasa kupitia mpango wake wa kusaidia watoto wa kike kupata elimu.
4. Mnaposema " kamwaga" wasichana wenye VVU vyuoni siyo sahihi. Halafu hiyo hofu kwanini iwepo kama watu wana uelewa wa HIV/AIDS? Je zama hizi ni zama za kurukia wasichana wanaojiunga vyuoni kama ilivyokuwa huko nyuma? Nadhani huu ni wakati wa kutambua kuwa siyo busara kujiingiza katika mapenzi hatarishi kwa maana hata wewe unayejitia hofu huenda ndio mwenye VVU ila hujui.
Ombi kwenu mnaoeneza hofu ni kuacha kujiingiza kwenye mahusian ya kizembe.Fuata masomo zaidi, acha wasichana wasome.Pia kama hujapima na kujua hali ya afya yako, fanya hima ukapime na uchukue majibu utakuwa na amani zaidi.
 
ndio taifa linazidi kuwa na waathirika ila hao waathirika wanahitaji elimu na huduma nyingine za jamii.
Bila kuendelezwa kielimu watakuwa ni tegemezi kubwa kwa taifa. Acha wapewa nafasi za kusoma, kufanya kazi etc.
Naona kama hujafurahishwa na kitendo cha FL lakini imagine wewe ndio ungekuwa miongoni mwa hao watoto yaani una uwezo na utayari wa kusoma halafu unyimwe fursa kisa una VVU ambavyo inawezekana ulizaliwa navyo.
Duh..naona umetwanga post kupitia simu pengine unajibu post ambayo sio..angalia vizuri.
 
Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni propaganda

nawasilisha

mkuu haka katetesi niliwahi kukasikia kwa wanaosoma wanawaita kontena.
 
kwa nini wasitwambie kuwa kuna watu anasomesha wenye virusi vya ukimwi na kuwa amewasambaza vyuo vyote hivyo?

huyu ni muuaji...........ngoja niwasiliane na Okampo anijuze kama haki za binadamu wengine hazivunjwi..

To be among great thinkers does not make you great thinker.
Upuuzi mwingine hauvumiliki mtu ana post tu utumbo ilimradi kapost kuongeza idadi ya post.
FICHA UPUMBAVU WAKO NA UONESHE HEKIMA YAKO
 
Kama ni kweli au siyo kweli naungana na mawazo ya mchapakazi na mzozaji wametoa maoni mazuri. Hivi kuna watu wanajiunga na vyuo vya elimu ya juu kufuata mademu? Ndiyo maana tuna wanavyuo wengi wanaosubiri kuongea lugha za kigeni baada ya kuonja, someni acheni kufikiria mademu, maana VVU sio kigezo cha kujiunga na vyuo. Au hata wavulana wote wapimwe na wanaoonekana wanao wapewe fadhila ya mfuko huo.
JK aliwahi kusema kuupata ni VIHELEHELE VYETU, acheni vihelehele, ngoja kama ni kweli wabunge wetu viruka njia wataachia nafasi kwa staili hiyo.:whoo::embarrassed::teeth:
 
Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni propaganda

nawasilisha

pambafff nyamambavvv..........UKIMWI umejaa tele kila mahali,usilete habari za kipuuzi humu..
 
Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni propaganda

nawasilisha

As great thinker umejiuliza hawa wanafunzi wanapatikana kwa utaratibu upi?, maana kwa hesabu ya haraka haraka inaonyesha kuna hao wanafunzi zaidi ya 10000 kwa mwaka wa kwanza kwa vyuo vyote kuanzia certificate to masters.
Ni nji gani inatumika kupata wanafunzi wote kwa utaratibu wa siri kiasi hicho.
Je ukikosa udhamini wa bodi ndio unaenda kupima ilikupata udhamini huo na utaratibu ukoje mbona wote humu hatujui?.
 
Haw mademu wamequalify admission na Salma anawa support financially. Mama Salma pamoja na mabaya wanayomsema, kwa hili anastahili pongezi kwani kigezo pekee kwake ni kwamba huyo demu lazima awe na ngoma.

Kwa wazinzi siyo lazima wapate ngoma hapo chuoni, wengi wanapata huko kwenye mabaa wakishalewa wanapiga beef kwa beef!
 
mams tupe utaratibu jinsi wanavyo patikana.
je n baada ya kukosa bodi ndio unaenda kupima?
je baada ya kupima unamuona yeye binafsi au? nk
Tuelimishe tafadhali kama unajua
 
Kama ni kweli au siyo kweli naungana na mawazo ya mchapakazi na mzozaji wametoa maoni mazuri. Hivi kuna watu wanajiunga na vyuo vya elimu ya juu kufuata mademu? Ndiyo maana tuna wanavyuo wengi wanaosubiri kuongea lugha za kigeni baada ya kuonja, someni acheni kufikiria mademu, maana VVU sio kigezo cha kujiunga na vyuo. Au hata wavulana wote wapimwe na wanaoonekana wanao wapewe fadhila ya mfuko huo.
JK aliwahi kusema kuupata ni VIHELEHELE VYETU, acheni vihelehele, ngoja kama ni kweli wabunge wetu viruka njia wataachia nafasi kwa staili hiyo.:whoo::embarrassed::teeth:
Hakuna mtu anaejiunga chuo kutafuta demu-ila kwenye jamii ya watu wengi,kama chuo-maswala ya mapenzi hujitokeza-ndo maana hili swala linaweza kuwa na hatari kwa jamii.JK alikosea aliposema kupata VVU ni kiherehere chetu-kuna wanaopata/wanaoambukzwa bila wao kujua-
 
Hilo ni KWELI KABISA HATA PALE MTWARA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA alipeleka wanafunzi 70 wenye vvu lengo lake eti wajitambulishe kwa wengine na watoe ELIMU mabinti walipopata chuo wakauchuna na kuanza kutoa uroda kama hawana akili timamu, mtwara imekwisha watu wanajibebea tu:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:

Ndugu, I think the number of "smileys" you use make me take your posts less seriously... najitahidi kusoma ila zinani-crowd machoni...you could use like two...message will still reach the intended... ila ni maoni tu.... it still remains to be a free world....
 
Back
Top Bottom