Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Jamani hapa ni mahali pa interlectuals. Hii habari kuwa mama Kikwete kasambaza watu wenye virusi vya UKIMWI ni uzushi usiokuwa na kichwa wala miguu.
Hao watu wenye virusi wanapelekwa vyuoni bila kufaulu? Ndo upendeleo maalum au? Na wanapimwa saa ngapi ili wapelekwe vyuoni na mama Salma?
UKIMWI upo kila mahali ni jukumu la kila mmoja kujilinda. Kama wewe unaona wanafunzi hawana UKIMWI kwa kuangalia halafu unaparamia bila Kondomu utaenda na maji.
mkuu shukran sana, umedadavua kwa hikma kubwa, mimi nilikuwa na mawazo kama yako ila kila nilivyokuwa natazama mabandiko ya watu humu, ningechangia tu ningekule BAN takatifu. Sometimes grat thinkers think softly!