Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 263
Kwa kweli adui, UJINGA bado unatukaba koo na hivyo ukombozi wetu bado ni mbali; Nasikitika sana watanzania kuonesha kwa vitendo kukubaliana na kauli zifuatazo:
- Wanaopata mimba na ukimwi ni viherehere...!
- Watumishi wa umme, bora mbayuwayu...!
- Lowasa, mramba..., ni wachapakazi na ni watu safi!
- Elimu bure haiwezekani...!
- Sizungumzi na watumishi, hadi wapate ngeu...!
- Ushindi kwa CCM ni lazima, na wala si ridhaa ya watanzania...!
- Wazee wastaafu, wamwagiwe tindikali, maji ya kuwasha...!
- nk.