Je, ni kweli Rostam Aziz ni hatari kwa nchi yetu kuliko Osama bin Laden?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wakuu,
Kuna jamaa hampendi Rostam kiasi cha kulinganisha hatari yake kwa nchi yetu na Osama Bin Laden. Jamaa amefikia kiwango cha kusema kwamba Rostam ni hatari zaidi kwani ugaidi wake unawaathiri wananchi wengi sana kwa wakati mmoja. Wakuu mnasemaje kuhusu mawazo haya, yana mantiki kweli? Kama ndivyo, na kama serikali haionyeshi dalili ya kumdhibiti Bw. Rostam kwa nini sisi wananchi tusichukue jukumu hilo?
 
Hivi unachukuaje hilo jukumu la kumdhibiti? Maana kama angekuwa ni kiongozi mwenye madaraka serikalini ungeweza kuandaa maandamano na migomo kushinikiza ajiuzulu lakini yeye ni mwakilishi wa wananchi. Utafanyaje?
 
rostam hafai-na ingekuwa nai kipindi cha miaka ya nyuma angeshafanyiwa deportation
 
Back
Top Bottom