Je ni kweli Mkulo ana degree feki?

ikhwan safaa

Senior Member
Jul 24, 2011
106
29
Au anasingiziwa?

I find it hard kuamini kuwa awe amefika hapo alipofika kwa degree feki

I feel kama vile JF mko kwenye smear campaign dhidi ya mkulo

Haiwezekani waziri wa fedha awe na degree feki...impossible

msitake kumdhalilisha rais na utawala wake kwa maneno ambayo hamuna uhakika nayo

wengine mmethubutu kusema kuwa amepewa degree chuo kilichompa mbwa wa kufugwa degree
 
iwe feki au uriginal wewe inakuhusu nini?
 
Sina hakika na ujamaa wao! ninachojua ni kwamba anatoka nchi ya yule mzee aliyekuwa rais na sasa ana advertize condom kwenye tv
nijuavyo mimi ni kuwa yule babu mwenye mvi wa Ikulu, katibu mkuu wizara ya afya, na jamaa na NHC wote kitu kimoja na sasa babu yuko bize anataka kuweka mtu wake mwingine PSPF

Lakini connection na waziri wa fedha nilikuwa sina..lakini kama watu washalalamika na hakuna statement inayotolewa kukubali au kukanusha it means kunakuwa na benefit of doubt kuwa kuna mtu ana mlinda

the country has gone to the dogs
 
Kwa ninavyofahamu mimi Mkulo alikuwa mmoja wa Watanzania wachache ambao kwa progarmme ya wakati ule walikuwa wanapekwa UK kusomea masomo ya uhasibu.Yeye ni mmoja kati ya watu waliohitimu na kutunukiwa ACCA,yaani sitashahada ya uhasibu itolewayo UINGEREZA na kutambuliwa duniani kote.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Na hiyo degree feki ya chuo kikuu cha ALMEIDA
 
Au anasingiziwa?

I find it hard kuamini kuwa awe amefika hapo alipofika kwa degree feki

I feel kama vile JF mko kwenye smear campaign dhidi ya mkulo

Haiwezekani waziri wa fedha awe na degree feki...impossible

msitake kumdhalilisha rais na utawala wake kwa maneno ambayo hamuna uhakika nayo

wengine mmethubutu kusema kuwa amepewa degree chuo kilichompa mbwa wa kufugwa degree

Kuna watu wana confuse degree fake na degree za non accredited universities. Degree za non accredited universities sio fake, bali hazitambuliwi! Sio kosa kisheria.

Degree fake ni zile za kwenye internet, husomi chochote, popote, unalipia na kupewa gamba la vyuo vikuu vyenye majina!. Hili ni kosa la jinai na ukigundulika ni punishable by law!
 
mkuu kwenye bold hapo unamaanisha ni full kunichanganya naomba ufafanui kidogo..
 
ndetichia, non accredited universities, ni vyuo vya ukweli na wanafundisha ukweli, ila degree zao ni sub standard, hazijakidhi vigezo, au vyo vya uchochoroni!.

Ni kama wewe ndetichia, unaweza kuanzisha chuo chako cha ufundi makenika, ili vyeti vyako vitambulike, lazima chuo chako kisajiliwe na VETA, kama hujakidhi viwango, chuo chako, hakisajiliwi, hivyo unaweza kuamua kuendelea kufundisha mafundi wako na kuwapatia FTC zako, japo hazitambuliwi, vijana wako ni mafundi!.
 
sina haja na degree yake kama ni feki au original, mi ninachojua ni kwamba ndiye waziri anayeongoza kwa kusema uongo kuliko waziri yeyote.mimi huwa siamini chochote anachoongea huyu jamaa!
 
Ni aibu kwa Taifa unapokuwa na viongozi waandamizi serikalini wakituhumiwa kwa makosa ya kuwa na elimu feki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom