Je ni kweli, men have a problem, lazima waangalie

mmoja juzi alisimamisha gari ili dada avuke barabara na akasema wazi aalitaka tu kumtazama na roho yake itaridhika......
mna shughuli viumbe nyie.......

Hapo kwenye red I would have done the same, sio kwa sababu ya kuangalia na kufurahia uumbaji, la hasha, bali ningefanya hivyo as a defensive and considerate driver!
icon10.gif
 
Hapo kwenye red I would have done the same, sio kwa sababu ya kuangalia na kufurahia uumbaji, la hasha, bali ningefanya hivyo as a defensive and considerate driver!
icon10.gif

vaisi vesa ni sahihi hapo......huwezi kubisha kwa kuwa naweza kuthibitisha!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom