CELLULAIRE
Member
- Mar 16, 2016
- 76
- 97
unaweza kufanya mapenzi na mwanamke aliye na virusi vya ukimwi huku akiwa anatumia dozi na usipate maambukizi yake kama utayafanya haya yafuatayo?
na cha kushangaza tena kuna mwanamke mwingine ambaye ameshamtongoza na ni mwathirika lakini kesho wamepanga kwenda kufanya mapenzi bila ya yeye kutumia kinga ya condom kwani huwa siyo mtumiaji wa condoms hata kama akiambiwa kuwa mwanamke fulani ni mwathirika. magonjwa ambayo huwa anayapata mara kwa mara ni haya tu ya zinaa hasa gono na mara chache sana kaswende ila vvu / ukimwi huwa hapati.
wenye utaalam wa mambo ya tiba na mliobobea katika masuala mbalimbali ya matibabu tena hasa ya huu ugonjwa wa vvu / ukimwi tafadhali hebu tuwekeni sawa juu ya hizo nadharia hapo juu kutokana na ukweli au uzooefu wenu.
- ukamwandaa huku yeye sehemu zake zikiwa tayari zimeshalowa au kulainika
- kama ukimwingilia lakini katika uume wako hakuna michubuko yoyote ile
- kama tu utashiriki nae mara moja tu ( kumpiga bao moja tu )
- kama una damu ya kundi o ( group o )