Je ni kweli kwamba uliemtoa B.K huwezi kuachana nae??

umri bado sn, huu ndo muda muafaka kbs. acha nami nitafute wa kummega siku za mbele
 
Ndo maisha yalivyo mkuu ila kwakuwa nipo single si mbaya, kama ningekuwa nimevuta jiko ningetafakari kwa muda mrefu sana na mwisho ningekuwa mbayuwayu. LOL

dah mihuwa nahc nikimpata wangu wa moyo afu nikamsaliti nafsi itanisuta sana.naweza kujishtaki mwenyewe later ili nipate amani ya nafsi.
 
Poleni na hangover za wkend huku mkisubiri hangover 2 next week inatoka. Tukiachana na hayo, ni kwamba nilikuwa na girlfriend ambae mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumake nae love na tukaachana kama miaka 3 iliyopita, Jana nimeonana nae na jioni akanitext anaomba kurudia game tena na mimi nimevutika nione amekuwaje now. Je hii inadhihirisha kuwa waliooneshana ukubwa hawaachani au ni nyeg* zetu tu ndo zinatusumbua!
huyo mttoto hana soko? kakosa mtu wa kumliwaza
 
umri bado sn, huu ndo muda muafaka kbs. acha nami nitafute wa kummega siku za mbele

Kama umri bado jitahidi kutafuta mkuu, make sure unamwaproach anakuwa na aibu, hawezi kukuangalia usoni, mgumu wa kutoa kiss,ana mambo ya kitoto toto n.k hapo utakuwa ume-win
 
Poleni na hangover za wkend huku mkisubiri hangover 2 next week inatoka. Tukiachana na hayo, ni kwamba nilikuwa na girlfriend ambae mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumake nae love na tukaachana kama miaka 3 iliyopita, Jana nimeonana nae na jioni akanitext anaomba kurudia game tena na mimi nimevutika nione amekuwaje now. Je hii inadhihirisha kuwa waliooneshana ukubwa hawaachani au ni nyeg* zetu tu ndo zinatusumbua?.

Mi sijui hayse,mi sikubahatika kumtoa girl bi**ra
 
huyo mttoto hana soko? kakosa mtu wa kumliwaza

Ni swali ambalo hata mimi nimejiuliza, ila kuwa na nyege si kwamba umekosa wa kukutoa au hauna soko, mapenzi kitu cha ajabu sana na hii ni moja ya raha na karaha za kutoana b.k
 
Na huyo ambae atakupata wewe used ajiandae kuchakachuliwa!

Ndo circle yenyewe jinsi inavyoenda. Ishu ya kunote ni kwamba inakuwa vigumu sana kuachana kwa watu ambao wameoneshana ulimwengu wa mapenzi kwa mara ya kwanza.
 
afu ukibana wenzio wanaachia, dah maisha bana hasa ya kimapenzi km maigizo flani hv
 
Ndo circle yenyewe jinsi inavyoenda. Ishu ya kunote ni kwamba inakuwa vigumu sana kuachana kwa watu ambao wameoneshana ulimwengu wa mapenzi kwa mara ya kwanza.
Yeah ndivyo mnavyodanganyana!!
Acheni kuhalalisha tabia za ajabu ajabu maana ndivyo wake na waume za watu wanavyotoka nje ya mahusiano yao kwa visingizio vya kipuuzi kama hivyo!!Ingekua ni kweli wa mwanzo wangekua hawaachani kabisa!!
 
nilijua nimepata namba nanetu
kumbe na busara zipo lol
 
Yeah ndivyo mnavyodanganyana!!
Acheni kuhalalisha tabia za ajabu ajabu maana ndivyo wake na waume za watu wanavyotoka nje ya mahusiano yao kwa visingizio vya kipuuzi kama hivyo!!Ingekua ni kweli wa mwanzo wangekua hawaachani kabisa!!
Hujambo dearest,ni utoto tu unamsumbua akikuwa ataacha mi watatu niliewatoa hawataki hata kuniona lol!
 
Back
Top Bottom