Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

Namuona mkuu Lekanjobe Kubinika anachungulia hapo chini,...ngoja aje aongeze nguvu hapa_maake huyu Tabby katukamia kweli kweli kutuchafua
 
Unajua ki ukweli hawa jamaa ni watu wabishi ujuaji mwingi, Nina mfano mzuri sana.Nina rafiki yangu katokea huko mbeya kweli ni shida manake hakuna hasicho kijua na wakati wote wanajiona wao wako juu kumbe maskini ya mungu ni ulimbukeni tu.Hivyo kifupi ni washamba.
 
Nyie mnaowatukana Wanyakyusa ni wapumbaf kabisa! Mchaga, Mhaya, Mnyakyusa ndo wajanja wa nchi hii kuongoza kielimu. Hata kwa vyuo wanaongoza! Sasa wewe wa Lindi, Mtwara, Kigoma na Phwani unathubutu kuwasema wanyakyusa? Nyamaza wewe!
Hizi ndo elementi zenyewe za ubinafsi-ukabila!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanyakyusa mnajulikana hata mkikataa. Sasa hivi kila anayeandika hapa anajitetea kwa mapovu huku akisema yeye si mnyakyusa. Mwenye elimu hakatai kabila lake eti kwa sababu atadhalilika. Unatakiwa kutetea tabia zenu za uf--ka na hayo hapo juu ili uieliimishe jamii kwamba siyo mabaya.

Mtoa mada kaandika anayoyasikia kuhusu wanyakyusa. Wakinga hamuwawezi kwa sababu wao ni watu wa kazi si majungu kama ninyi. Sugu mlimpa kura kwa sababu wakinga walimsimamia na kufacilitate kwa ma milioni yao wala usiidanganye dunia kwamba Sugu kawekwa na ninyi wenye wivu.

Mbeya mjini hamtakiwi na ukabila wenu unakwama kwa sababu hata wa Safwa hawawataki kwa ajili ya uozo wenu. Na isiitoshe mjini ni kwa wasafwa siyo kwenu ndiyo maana mnaishia kupiga majungu lakini pana wawia vigumu ku-dominate kwa asilimia kubwa.

Bahati nzuri sijawahi kufanya kazi ya kuajiriwa. POLENI WENYE KUFANYA KAZI OFISI MOJA NA WANYAKYUSA. MIJITETEE SANA. HAKUNA MTU ALIYESEMA KWAMBA TABIA ZENU ZA MAJUNGU, FITINA, UWONGO, UF..SKA, WIVU UNAFIKI NI MBAYA. NI NZURI TU ZINAPENDEZA SAAAANA!. MSIONE HAYA HADI MNAANZA KUKATAA KABILA LENU.

VIVA WASOKILEE!

We Tabby hata sijui nianzie wapi; hata sababu ya kukukasirikia nimekosa.

Ila umefanya vizuri kusema hujawahi kufanya kazi ya kuajiriwa katika ofisi moja na Mnyakyusa. Mimi mwenzio nimewahi kufanya kazi katika ofisi moja na Wanyakyusa. Na Kwa taarifa yako walikuwa wao watupu; mimi peke yangu ndo nilikuwa kabila ingine. Mbona tulielewana? unajua sikuelewi?

Hilo la Ufuska mi wala hata sikukatalii. Hebu nambie, hivi kule kwenu wanawake huwa mnawaangaliaga tu wanatembea hivihivi. Au? Wakipata heat? Mnawakatalia, au? ...nanilii zenu zoooote ni za kukorogea chai. We vipi Tabby bwana. Tafuta kitu kingine cha kusema. We unajua baada ya midundiko wazaramo huwa wanaishia wapi? Na hizo staili za Katerero ziligunduliwa unyakyusani, au? Na zile taarifa za fumanizi katika magazeti ya Shigongo zooote wanyakyusa, au? MAJUNGU, FITINA, UWONGO, U.F.U.S.K.A, WIVU, UNAFIKI, hizi ni tabia za kiumbe binadamu kwa ujumla wake. We kwenu hakuna majungu?
 
Namuona mkuu Lekanjobe Kubinika anachungulia hapo chini,...ngoja aje aongeze nguvu hapa_maake huyu Tabby katukamia kweli kweli kutuchafua

Mkuu Igwe, unazani Tabby anatokea kipande gani hasa cha hii Tanganyika. Natamani tumgeuzie kibao kidogo. Hakuna kona ya nchi hii isiyokuwa na kijambo cha kusimangia mtu.
 
We Tabby hata sijui nianzie wapi; hata sababu ya kukukasirikia nimekosa.

Ila umefanya vizuri kusema hujawahi kufanya kazi ya kuajiriwa katika ofisi moja na Mnyakyusa. Mimi mwenzio nimewahi kufanya kazi katika ofisi moja na Wanyakyusa. Na Kwa taarifa yako walikuwa wao watupu; mimi peke yangu ndo nilikuwa kabila ingine. Mbona tulielewana? unajua sikuelewi?

Hilo la Ufuska mi wala hata sikukatalii. Hebu nambie, hivi kule kwenu wanawake huwa mnawaangaliaga tu wanatembea hivihivi. Au? Wakipata heat? Mnawakatalia, au? ...nanihii zenu zoooote ni za kukorogea chai. We vipi Tabby bwana. Tafuta kitu kingine cha kusema. We unajua baada ya midundiko wazaramo huwa wanaishia wapi? Na hizo staili za Katerero ziligunduliwa unyakyusani, au? Na zile taarifa za fumanizi katika magazeti ya Shigongo zooote wanyakyusa, au? MAJUNGU, FITINA, UWONGO, U.F.U.S.K.A, WIVU, UNAFIKI, hizi ni tabia za kiumbe binadamu kwa ujumla wake. We kwenu hakuna majungu?

Ndaga ubapilikisyepo. Po lelo isi si kanongwa gwa myetu!.
 
Hiyo ndiyo sifa mnatamani isomeke.

1. Tabia zenu na ukabila umedumaza mji wa mbeya japo mmelazimisha liitwe jiji. Mgekuwa watu wa ukweli, mngekuwa mbali sana maana mna uwezo wa kupata kila kitu kinachohitajika kwa maendeleo. Ila tabia zenu, du!.

2. Migongano katiaka halmashauri za wanyakyusa ni kwa ajli ya ukabila. Kila asiye mnyakyusa mnampiga vita,majungu aondoke ama apate matatizo kwa kuwa hamtaki kuongozwa na asiye mnyakyusa.

3. Usiwadanganye watu kwamba eti mnaishi kwa amani na makabila mengine wakati kila mtu anawakimbia. Watu wakija kwenu wanapewa semina kabisa kwamba huko kuna wanyakyusa. Kijana akitaka kuona mbeya wanauliza kabila la mchumba. Kama anaoa mnyakyusa hapewi hongera badala yake anapewa pole.

4. Pengine wadanganye ambao hawajakaa Mbey. Mimi niliishi mbeya miaka mitatu. Mwanzoni nilidhani mnasingiziwa mlivyo kuwa wanafiki hadi nilipowashuhudia.

5. Toa tafsiri na matumizi ya maneno "Mjanga" na "Mhesya".

6. ACHENI UNAFIKI, MAJUNGU NA UMBEYA WANYAKYUSA. MTAMALIZWA MENO MIDOMONI. SHAURI LENU.

Nasikitika sana kututukana Wanyakyusa!
Lakini naona kama una tatizo na hili kabila letu, na kuwa kuna uwezekano umetendwa na mmoja wetu basi umeamua kutumalizia wote na hasira zako, pole sana.
Nahisi hata dhamira inakusuta, maana unajisahau kuwa Wanyakyusa nao ni binadam wana tabia zao binafsi, kama ilivyo kwa watu wa makabila mbalimbali.
Kwa kuwa umeamua kutupa sifa zote chafu, kwa niaba yao naomba nikuambie NDAGA sana!
Lakini ukumbuke, shutuma zako unaonekana haujazifanyia utafiti wowote, umeendeshwa na hasira tu.
Sitaki kujisifia kwamba sisi Wanyakyusa tulivyo, lakini jamii tunayoishi nayo inathibitisha hilo!
Hivyo taby, endelea na mahasira yako ya kijinga dhidi yetu labda ndio hasira zako zitaisha.
Lakini ukweli utabaki kuwa Wanyakyusa ni bora mara elf zaidi yako!
 
Last edited by a moderator:
Umapigwa badara ya kujibu unatoa binti akaolewe? ha ha ha ha ha,kye kye kye kyeeeeee

halafu wanajiona wajanja! wajanja ni kabila lile ambalo watu wake hawakutumikishwa kama watumwa kutokana na juhudi na weledi wao katika kazi. Mzungu kawafulia kofia kaanza kushirikiana nao katika uzalishaji, chezea mangi wewe!!!!!!!!!!!
 
Duuuh! Kiukweli hawa jamaa wanapenda saaaana Much know life style. Nadhani ndiyo inayowafanya wanakuwaga na kawivu fulan
 
Ni wazi we ni mgumu kuelewa japo nmeandika kwa lugha ya kiswahili ambacho yumkini kila mtz anajvinjari nayo. Kwa kifupi nlitaka mleta mada atufahamishe kama hao watu nlio wataja nao pia ni Wanyakyusa. USHAURI: Siku nyingine jaribu kuwa na mtazamo mpana kwa jambo unalo taka andikia jamii kwani siku zote unacho andika au kinawakilisha mipaka ya ufikiri wako.

Nawe inaonesha hujui kanuni za kitafiti. Mfano tunaposema ukimwi unatawala Afrika haimanishi nchi za magharibi haupo. Hapa ni suala la magnitude of the issue in question. ACHENI UVIVU.
 
We Tabby hata sijui nianzie wapi; hata sababu ya kukukasirikia nimekosa.

Ila umefanya vizuri kusema hujawahi kufanya kazi ya kuajiriwa katika ofisi moja na Mnyakyusa. Mimi mwenzio nimewahi kufanya kazi katika ofisi moja na Wanyakyusa. Na Kwa taarifa yako walikuwa wao watupu; mimi peke yangu ndo nilikuwa kabila ingine. Mbona tulielewana? unajua sikuelewi?

Hilo la Ufuska mi wala hata sikukatalii. Hebu nambie, hivi kule kwenu wanawake huwa mnawaangaliaga tu wanatembea hivihivi. Au? Wakipata heat? Mnawakatalia, au? ...nanihii zenu zoooote ni za kukorogea chai. We vipi Tabby bwana. Tafuta kitu kingine cha kusema. We unajua baada ya midundiko wazaramo huwa wanaishia wapi? Na hizo staili za Katerero ziligunduliwa unyakyusani, au? Na zile taarifa za fumanizi katika magazeti ya Shigongo zooote wanyakyusa, au? MAJUNGU, FITINA, UWONGO, U.F.U.S.K.A, WIVU, UNAFIKI, hizi ni tabia za kiumbe binadamu kwa ujumla wake. We kwenu hakuna majungu?

Nashukuru, umemjibu vizuri sana, BIQ UP. Mtu akiumwa sana malaria, na ikapanda kichwani anaanza kuropoka madudu. Nadhani Tabby anahitaji matibabu, atafutiwe Quinine na apewe chandarua cha bure....
 
....Mtu akiumwa sana malaria, na ikapanda kichwani anaanza kuropoka madudu. Nadhani Tabby anahitaji matibabu, atafutiwe Quinine na apewe chandarua cha bure....

ha ha ha ha... Tabby leo naona kachelewa kuingia kef. kama ni kilaptop basi kitakuwa kimeisha chaji.
 
Nasikitika sana kututukana Wanyakyusa!
Lakini naona kama una tatizo na hili kabila letu, na kuwa kuna uwezekano umetendwa na mmoja wetu basi umeamua kutumalizia wote na hasira zako, pole sana.
Nahisi hata dhamira inakusuta, maana unajisahau kuwa Wanyakyusa nao ni binadam wana tabia zao binafsi, kama ilivyo kwa watu wa makabila mbalimbali.
Kwa kuwa umeamua kutupa sifa zote chafu, kwa niaba yao naomba nikuambie NDAGA sana!
Lakini ukumbuke, shutuma zako unaonekana haujazifanyia utafiti wowote, umeendeshwa na hasira tu.
Sitaki kujisifia kwamba sisi Wanyakyusa tulivyo, lakini jamii tunayoishi nayo inathibitisha hilo!
Hivyo taby, endelea na mahasira yako ya kijinga dhidi yetu labda ndio hasira zako zitaisha.
Lakini ukweli utabaki kuwa Wanyakyusa ni bora mara elf zaidi yako!

Siku zote mnafiki hataki kuwa exposed. Mashambulizi yako yapeleke kwa mtoa mada aliyetaka kuwafahamu na huo ndio ukweli tunaompa ili umsaidie. Hakuna tusi hata moja nililowatukana. Wewe ndiye unatukana kulinda unafiki wenu usijulikane. Nimeelezea wasifu wenu. Nimekaa sana kwenu. Hakuna hata kabila moja kusini linalowakubali ninyi. Usidanganye eti wanaokaa nanyi wanawakubali. Wapi Bana weee? WANAFIKIENI WASIOWAFAHAMU BANA.

KAMA KUTAKUWA NA SWALI KUHUSU HULKA ZA WATU WA MAENEO MENGINE ZIWEKE HAPA, HATUTAKATAZA WANAOWAFAHAMU WAKACHANGIAT. LAKINI BADO HAZITAFUTA UHALISIA WA TABIA ZENU WANYAKYUSA.
 
ha ha ha ha... Tabby leo naona kachelewa kuingia kef. kama ni kilaptop basi kitakuwa kimeisha chaji.

.Pole kwa kunimiss. Nipo na wala mashine yangu haijaisha moto ingawa ni kweli umeme unasumbua sana. Sikuchelewa kwa ajili ya kef pia ila nina majukumu mengi na priorities pia. Usishangae nikitoka na kurudi. Sintakaa hapa siku nzima dogo wakati nina majukumu mengine.

Upilike mnyambala?
 
Back
Top Bottom