Je ni kweli kuwa wanaume wafupi wanayajua mahaba....?

true madamu.
bt ebu chek
mtu mrefu ana kitaaaaaaamb ichoo vs mtu mfuuuuuuuuuuup ktamb ichoooo..
ilekitu itashrink sana kwa mfup yap kwa mrefu itadidimia pia lakn si kiivo..
mdwaf kitamb mbele apana aseee...ahh afu kwa kukoroma aooooooo weeeee hawafai NASKIA KWA JIRAN YANGU JINS JAMAA ANAVYOKOROMA UKIMCHEK ASUBUI UYO MTU MFUP KM KIKOMBE CHA KAHAWA TUMBO KULEEEEEEEEEEE KUSEMA KAKIMBIA LEBA..ahh stak mie..

hapoo kwenye nyekundu chachaa...kwa maana hiyo wee ulalii unasikilizaa mechi ya jirani.....hiyo ya piliiii mmmmmmh!sina kauli
 
Hahahahhaha aluuuuuuuuuuuuuuu!!! hii kali. Sina mbavu!! Mimi simo.. First Lady taratibu haya mambo haya mmmh!!
 
nasikia kwamba wanaume wafupi manayajua mapenzi na wamejaliwa mfagio wenye saizi nzuri ambao hudatisha wanawake wengi.
wanaume wafupi huwa na saizi isiyokera na pia isiyohitaji ufundi mwingi ili kutoa raha kwa mpenzi.
nijuzeni basi kama hili ni kweli ili nami nitafute wakwangu mfupi...........!

umeshalamba mwiko eeeh?
 
mimi mwenyewe mfupi lakini nyanzala huwa anajisifu kwa wenzie na mara nirudipo safari huwa na kimwemwe acha weeeeeee jaribu uone
 
mwe mwe mweeeeeeeeeee dont dare.......!!!!!!!
wanaume WENGI LAKIN SI WOTE wafup wana tabia izi:
--wana gubu...kitu kdg atakikuza icho mpk utashangaa
--hawajiamin na ikiwa umempta urefu ndo kabisa anahisi km unamdharau..unamwona mtoto ..unamchukulia poa
--wagomvi ..wanapenda bfu ao usipime..i inatokana na kudhani haeshimiwi sasa katika kuonyesha uanaume wake ndo apo sasa makonz nje nje
--hawana comprmise..MIMI NDO KICHWA CHA NYUMBA ..mimi mwanaume nshasema..i inatokana na infrty cmplx
KUHUSU MFYAGIO mmh sijui manake minajuana ile kitu ina ratio na mwili wa mdau mtu mrefu likell akawa na...mtu mfupi atakuwa na....mtu mnene+ktambi kikubwa+mfupi likelya takuwa na .....

Haaahaaa! At least nimelegeza nerves zangu kwa ajiri ya kunyunyuzia kabia ka baridi, lol
 
Wapo wawili! FL na FL1

Sasa Katavi, i am a President, FL1 huyu ndio my wife nadhani tulitengana, nakutuma kama mshenga nipelekee salamu, ila usinigeuke maana washenga nowadays inadbidi kuwa makini, mwambie namsalimu
 
Hilii jamvi linanipa starehe kweikwei, FL. WL, Nguli, generation, teamo, kimey, Mad t, Rose 1980, Chigwiye na wengine you have made my evening. thanx alot. Its like you were all serious. Haya jama ijumaa njema!
 
Hilii jamvi linanipa starehe kweikwei, FL. WL, Nguli, generation, teamo, kimey, Mad t, Rose 1980, Chigwiye na wengine you have made my evening. thanx alot. Its like you were all serious. Haya jama ijumaa njema!

Karibu mkuu tuwe tunaondoa ondoa stress za jukwaa la siasa
 
Back
Top Bottom