kamuulize HAILE SELLASIEWadau ni muda sasa naisikia kuna dini ya Rasta farai kama sijakosea herufi, hebu tufahamisheni, ikoje hii? Kuna uhusiano gani kati ya waimba reggae na dini hii? Hivi Wanaabudu nini? Hapa tz wapo waumini?
I and IWewe hadi leo hujui lolote kuhusu rastafari? Ok...basi fahamu machache kwanza. Mosi si sahihi sana kuita rastafari dini kwasababu rasta si organized religion kama ilivyo Christianity au Buddism. Rasta ni aina ya maisha. Hakuna dogma katika rasta. Rasta ni kuhusu kujitahidi kujua knowledge of self. Ukiwa na knowledge of self...utajifunza kuheshimu nature, simplicity, kufanya kazi kwa bidii, kushiriki katika maendeleo kwenye community.....hiyo ndiyo rasta.
Ukijua haya then utajua kuhusu His Imperial Majest Haile Selassie the first. Utajua kuhusu Nyabighi, Holy Herb, Free form locs, Rastafari Movement na kadhalika.