Je ni kweli kila kitu waligundua wazungu?

Ni nzuri sana hii. Nimejifunza kitu ambacho nilikuwa sikijui.
 
acha kutuenjoy tanzanite imegunduliwa na Ali juuyawatu alikuwa ni local masai tribesman mwaka 1967, ambaye aliokota kipisi cha tanzanite kilichokuwa blue violet akamua kushare na Manuel D'souza ambaye alikuwa akitafuta rubi maeneo mbalimbali ikiwemo mererani hills.yo tanzn
JWZ ilikuwa named baada ya yeye kugundua hiyo tanzanite,
JWZ ni mineralization layer ambayo miners huchimba kwa kuifuata hiyo layer,JWZ layer ndo the main contributor kwenye formation ya tanzanite.
 
Mh! Ni swali au?
Anyway kama ni swali, inategemeana na tafsiri yako ya neno "mzungu"
 
Back
Top Bottom