Hakika Uv light ina madhara katika computer display sana sana zile zinazotumia LCD (Liquid Crystal Display) ingawa madhara yake uwezi kuyaona au kutokea mara moja it takes even years kunotes changes katika display yako.miale ya jua inapopiga kwenye LCD hutengeneza hot spot ambayo husababisha mabadiliko katika chemical iliyotengeza hiyo LCD,hivyo tunasema on long run or ploronged exposure husababisha kufifia kwa quality za image ambazo zitakuwa zinazalishwa na hiyo display.Ingawa LCD nyingi zinakuja na protective layer kwa ajiri ya kuikinga na hiyo direct exposure to sun rays,ni vizuri kujitahidi kuzuia hiyo direct exposure kwa muda mrefu.
kama The last don alivyosema, all lcd displays (simu, monitors, lcd/led tv's) zinachomwa ni jua. the very worst effect ni spot nyeusi kwenye display ila mpaka effects za jua ni nso small and negligible (itachukua years for a burn spot to appear) that its not something u should worry about. kama unaogopea display yako, the biggest thing ambayo huinyonga ni brightness. usitumie high brightness na usi iache on when not using it
pc, leh
ishu kubwa ya kuangalia hapo ni muda unaotumika hiyo pc kuwa juani sababu the more inapokuwa juani ndo heat inavyozidi kuongezeka kwa haraka ndani yake(hasa kama pc yako ina cover jeusi)..so ikiendelea hivi kwa mda mrefu kuna uwezekano mkubwa wa kuharibu baadhi ya vitu kwenye motherboard au vitu vingine vinavyoweza kuathiriwa na joto na ndo maana huwa kuna fan ndani ya pc..ila nayo inalimit yake, so joto likizidi sababu ya kupigwa sana na jua unaweza kuiharibu pc yako in that way i gues (am just using simple logic..sijathibitisha)..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.