Je ni kweli huyu mpenzi wangu ana bikira?

Mwongo huyo demu, we utaoaje kitu bado huja onja. Acha ujinga kula mzigo ndo uoe, angalia yasije yakakuta yaliyomkuta Blue Balaa. Amefukuzia demu miaka mitatu akakutana na PANGO
 
Kwanza hujasema kama huyu ni mchumba wako
Pili hujasema kama unampenda
Tatu kwa mujibu wa amjibu yake kwenye maswali yako kuwa unachokitaka ni ngono tu kwake.

Sasa: Wewe unashida, huwezi kumwomba manamke kwa muda wa mwaka mzima na sababu pekee anayokupa ya kutokukupa ni bikira. Kwanini akuwekee bikira mpaka utakapomwoa? Je? ni kweli kuwa bikira ni kitu muhimu sana kwenye ndoa? Inadumu muda gani? Kwa umri wako wa kuoa umekutana na wasichana wangapi wenye bikira na hujawaoa?

My Take
Hampendani, Wewe humpendi na yeye hakupendi. wote nyie waongo tu. Hamjaambiana ukweli wa moyoni. Yaani wewe unataka kumega na yeye anataka kuolewa hata kama wewe siyo handsome.

Rsp
 
Amini kuwa anayo bikra na kama ukimuoa ukakuta hana basi itakuwa ni ajali kazini na pengine amekwambia hivyo ili alinde uhusiano wenu
 
Sasa hapo kujua kama anayo au hana ni rahisi sana mkuu.....pima oil kwa kidole gumba kaka...sisi wanaume huwa na vidole gumba vikubwa kikizama jua hakuna kikigoma ujue mwake........koz zipo bikira za kutengeneza kaka.......anasubiri utangaze tarehe ili nae ajipange na ndimu na mazaga mengineyo.....beside why unaona mtu ambaye hujammega??? akiwa kisima Je??? utavumilia 4 ur entire life??????? MMege man ili uwe sure kama utaweza kudumu nae....la sivyo utakua kicheche wa Maisha......
 
Kama unampenda kweli utamwamini, swali lako linaonyesha kuwa humpendi kwa moyo wote ndio maana humwani; as simple as that; hata kama amekuwekea, after wedding night she wont be bikira anyomore, and you will have to live and make love with someone ambaye si bikira for the rest of your good/bitter life, may be utakuwa unaendelea kuwashaka mabikira tu and once wakishabikiriwa, then it is over maana wewe unapenda bikira!!!!!!!!

Ni sawa kabisa Seniorita (Señorita), nashangaa kuwa katika karne ya 21 bado wanaume tunachunguza nani ana bikira nani hana. Unafikiri bikira ni uaminifu? Hakuna uwezekano wa kuwa mtu ni bikira lakini akawa tayari ameshaanza kufanya mapenzi? (Zipo njia nyingi). Hakuna uwezekano mtna kwa nini u akawa bikira mpka siku ya ndoa lakini baada ya hapo akaanza kugawa kama njugu? Na kwa nini wasiangaliwe wanaume pia ikiwa wana bikira?
Tuangalie uaminifu zaidi katika mapenzi kuliko bikira kama kwamba ni kitu cha thamani saaaana.
 
labda amekushtukia umekaa kingono ngono zaidi,,,hivyo anaona njia pekee ya kukukeep ni kukuambia ana bikra...
hata hivyo sidhani,kama mtu anaweza kudanganya jambo hili...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom