Je, Ni Kweli Hoteli Hii Ni Ya Mkulu?

Wewe Grumeti si ya Kikwete, ile inamilikiwa 100 % na ptj , bilionea wa ki america anaefanya mashughuli ya mahisa huko us, na ndomaana wa us hawaishi kuja huko, mfano bill, bush nk.
tena hiyo hotel ni imekamata tuzo yakuwa hotel bora duniani 2011/12 . kwa taarifa yako. Kikwete hausiki hapo.

Inaitwa Bilila, siyo Grumeti. Ipo mbugani Serengeti.
 
Wewe Grumeti si ya Kikwete, ile inamilikiwa 100 % na ptj , bilionea wa ki america anaefanya mashughuli ya mahisa huko us, na ndomaana wa us hawaishi kuja huko, mfano bill, bush nk.
tena hiyo hotel ni imekamata tuzo yakuwa hotel bora duniani 2011/12 . kwa taarifa yako. Kikwete hausiki hapo.

tuthibitishie zaidi usemayo
 
mnaompongeza mkulu semeni ndiooooooooöoo,
msiompongeza semeni sioooooooooooooo
 
Ebana eeh acha ubishi, katika pita pita zangu za kikazi nimeenda hapo grumeti zaidi ya mara kumi, katika hizo mara moja wapo nilikuta mwenye hotel hiyo ya grumeti amekuja kupumzika kwenye hotel yake na mara ingine nikakuta Bill gates kaja kula gud time for 4 days hapo porini na kwajinsi mambo ya pale yalivyo ile kitu si ya kawaida bana.....tembea uone...ukiskia gud time ni gudtime kweli kweli.

Alafu zipo nyingi zimbabwe na ZA pia hizo hotel zipo na hapo utabisha?




tuthibitishie zaidi usemayo
 
Watanzania mbona tumelalwa hivi? Jamani tuamke kungali adhuhuli. Mnaojiita wasomi mko wapi? Au mmejificha JF kwa majina bandia? Ushujaa uko wapi? Ujasiri umesafiria njia gani?

Tutumie elimu zetu kutokomeza hii kitu Maxene kajaribu kupitia JF lakini hajaweza maana ujumbe haufiki ipaswavyo je njia mbadala ni ipi? Inauma sana hii
kWAKWELI SIJAELEWA ULICHOTAKA KUKISEMA HASA AS FAR AS THIS THREAD IS CONCERNED
 
lakini hayo si majengo mawili tu?
Ndio maana naukumbuka ule msemo 'ukistaajabu ya mussa.... Wakazi wa Morogoro hebu waelezeni wana JF kuhusu hoteli maridhawa iliyofunguliwa hivi karibuni mtaa wa Boma! na jina la mmiliki wake..utazimia!.
 
hii mzee sio millenium beach resort hapo bagamoyo kweli? kama ndiyo mbona anayo hata kabla hajawa mkuu,2004 hivi nililala pale na wenzangu ambao tulikuwa tunafanya nao kazi-wahudumu wakati huo-wakatuambia hii ni ya mzee.sema

labda sasa anaongeza majengo tuu hapo pembeni
 
Back
Top Bottom