Je, Ni Kweli Hoteli Hii Ni Ya Mkulu?

Kila nikienda Bagamoyo lazima nipite hapo sokoni kula samaki.

Mara ya mwisho nilipeleka binti kwenye ile interview kanyabwoya ya St. Marrian nami kwenda ku barz sokoni hapo ndipo nikaonyeshwa mjengo na kuelezwa ni ya Mzee kiwazi wazi na kihalali na sio kisiri siri kama Grumeti!.

Pasco

location ya hii hoteli ni best (prime)

kinachonisikitisha mimi ni quality yaujenzi na finishing ya hii hoteli, very poor, how can the big fish own a low quality hotel like this?
 
Wewe Grumeti si ya Kikwete, ile inamilikiwa 100 % na ptj , bilionea wa ki america anaefanya mashughuli ya mahisa huko us, na ndomaana wa us hawaishi kuja huko, mfano bill, bush nk.
tena hiyo hotel ni imekamata tuzo yakuwa hotel bora duniani 2011/12 . kwa taarifa yako. Kikwete hausiki hapo.

Very very correct mkuu, haina uhusiano wowote na mkulu, labda alitaka kuitaja Bilila.

Very very correct mkuu, haina uhusiano wowote na mkulu, labda alitaka kuitaja Bilila.

MainPicture.jpg
 
ukweli,uongo,ukweli,uongo,ukweli,uongo,ukweli,uongo,ukweli mbona sipati picha?

ikulu hakuna biashara.
 
Umenikumbusha mbali sana.........miaka ya 1980 alikuja bondia mmoja toka Burundi akiitwa Sigmund Kanyabwoya na kutamba kuwa atawapiga mabondia wa bongo..........akaishia kupigwa yeye mapambano yote.......ndiyo likaja neno hili

Hapo kwenye blue, pameniacha hoi, lakini pia nimefurahi kutambua historical background ya jina hilo. Ahsante mkuu.
 
hakuna
ipo karibia na bandari ya bwagamoyo
tangu naishi huko
niliskia hizi habari
by the way sikujua kuwa
itakuwa kubwa hhivi

safi watu wapate ajira

au ndo inabidi uitwe ashraf
mwajuma na faiza hahahah

Is this the hotel near Msalabani? If yes, is it not owned by the church? Kama amejenga kwa kufuata taratibu bila kuzikiuka, well and good! Otherwise poleeee.
 
heeeeeee imeshatunzwa wakti bado inaendelea kujengwa ikiisha?????????

lakini kama nia ya mmarekani tuangalie
isijekuwa kama loliondo ukisogelea
pale kisimu kisijeandika welcome
to united stastes of america lol

Wewe Grumeti si ya Kikwete, ile inamilikiwa 100 % na ptj , bilionea wa ki america anaefanya mashughuli ya mahisa huko us, na ndomaana wa us hawaishi kuja huko, mfano bill, bush nk.
tena hiyo hotel ni imekamata tuzo yakuwa hotel bora duniani 2011/12 . kwa taarifa yako. Kikwete hausiki hapo.
 
Richmond products at work now.........................aliitaka ikulu kwa nmna mbalimbali sasa analia kivulini na kwenda kunywa chi mrekani kwa bush aaaaaahhhhh utamwambia nini tena kikwete ******...
 
patakuw Pazuri sana kwa kustarehe baada ya kuibiwa sana rasilimali zetu na wajanja
 
Kila nikienda Bagamoyo lazima nipite hapo sokoni kula samaki.

Mara ya mwisho nilipeleka binti kwenye ile interview kanyabwoya ya St. Marrian nami kwenda ku barz sokoni hapo ndipo nikaonyeshwa mjengo na kuelezwa ni ya Mzee kiwazi wazi na kihalali na sio kisiri siri kama Grumeti!.

Hapo kwenya nyekundu, jina lake linaanzwa na herufi gani?
Samahani kama nitakukwaza
 
Bagamoyo km unaelekea soko la samaki up wa kulia...nimepata kusikia minong'ono as well......itamsadia uzeeni!
 
Labda anaizungumzia bilila mkuu
Wewe Grumeti si ya Kikwete, ile inamilikiwa 100 % na ptj , bilionea wa ki america anaefanya mashughuli ya mahisa huko us, na ndomaana wa us hawaishi kuja huko, mfano bill, bush nk.
tena hiyo hotel ni imekamata tuzo yakuwa hotel bora duniani 2011/12 . kwa taarifa yako. Kikwete hausiki hapo.
 
Uko sawa kabisa Mkuu.

Huyu jamaa mwenye hotel, baba yake ni CO-OWNER wa moja ya minada Mikubwa duniani/USA ambayo ipo WALL STREET.

Babu yake kama sikosei na rafiki zake watatu, ndiyo walioanzisha mnada wa DOW JONES ambao ndiyo mkubwa duniani ikishughulikia hasa bidhaa za viwanda na Mabenki na watu kama akina Cocacola, Microsoft, Oil and Gas etc, wapo hapa sasa!

Wengine ni NASDAQ na S&P500. Huyu jamaa, hahitaji hata senti tano katika biashara yake ili kuongezewa mtaji.
Wewe Grumeti si ya Kikwete, ile inamilikiwa 100 % na ptj , bilionea wa ki america anaefanya mashughuli ya mahisa huko us, na ndomaana wa us hawaishi kuja huko, mfano bill, bush nk.
tena hiyo hotel ni imekamata tuzo yakuwa hotel bora duniani 2011/12 . kwa taarifa yako. Kikwete hausiki hapo.
 
Si mbaya kama ni kutokana na pesa halali na siyo ya Richmond, otherwise Pasco mbona mahali hapo ni kama imejengwa karibu sana na ufukwe wa bahari? sheria ikoje kuhusu vitega uchumi kandokando ya bahari na uchafuzi wa mazingira ya bahari?

Hizi sheria za uwekezaji katika fukwe haiwahusu walinda sheria yenyewe! Ndio mambo yanayochefua ya Tz!
 
Umenikumbusha mbali sana.........miaka ya 1980 alikuja bondia mmoja toka Burundi akiitwa Sigmund Kanyabwoya na kutamba kuwa atawapiga mabondia wa bongo..........akaishia kupigwa yeye mapambano yote.......ndiyo likaja neno hili

Haaaaa kumbe ndio asili ya neno "kanyaboya" tuache hayo huyu jamaa ana vitega uchumi vingi sana acha tu bado mwanae yani ukiambiwa wanavyomiliki hao like father like son(baba na mwana) unaweza ukaamua kujilipua,hawa tanzania yote mikoa yote wana vitega uchumi vya kufa mtu
 
Back
Top Bottom