je ni kweli hii Hii topic ilotumwa habari mchanganyiko DOLLY ESTATE FOR WHITES ONLY

warumu

Member
Mar 3, 2012
42
1
Hivi ni kweli Kuwa wana jf ni great thinkers kweli au
Mambo mengine kwao ni blaa blaa tu?
Hivi post iliyo tumwa habari mchanganyiko
 
ndiyo ni kweli shamba hilo la ekari kama 5000 ligawanywa kwa makampuni kama 12 hivi yanayofanya shughuli tofauti kama kilimo cha mboga kampuni inaitwa Q sam,uwanja golf, kuna nyingine imeanzisha Zoo, na kuna shemu ya makazi ambapo kiwanja ekari 1 ni dola 70,000 na zote hizo ni wazungu tu hakuna mwafrika aliyepewa ardhi mle.

kilio cha wananchi ni kwamba je alimilikishwa shamba hilo Jerome Bruis alitumia njia sahihi kupewa shamba hilo? je walibadilisha matumizi y ardhi kwa mujibu wa sheria? kuna kuila dalili kuwa taribu nyingi zilikikwa na na alimilikishwa shamba hilo kinume cha sheria
 
Back
Top Bottom