Je! ni kweli dunia inazunguka jua?

MWENYEZI MUNGU MTUKUF ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE KITAKATIFU YEYE NDIO ANALITOA JUA KUTOKA MASHARIKI KWENDA MAGHARIBI nitasimamia kauli hiyo hiyo ya muumbaji dunia haizunguk
 
Duuh? Mwalimu gani huyo aliyekusomesha? Bila ya kukupa uzaifu wa theory hiyo? Ukiambiwa na wewe ujiambie mkuu, Jua ndio lenye kuzunguka natumai unaliona kutokea mashariki kuendea magharibi >>>kukusaidia tafuta Heliocentric theory(sun center theory) theory inamapungufu sana >>>>Geothentric theory(Earth center theory) theory ipo sahihi
Upo sahihi mzee.Unajua watu wanasahau ya kuwa jua ni kiumbe na kina tii amri ya alikiumba.Pia kuna vitu kamwe usitegemee kama sayansi itaweza kukuambia na kama wakikuambia lazima utakuta abra kadabra nyingi yaani mikingamo.

Maana huwa wanajidai hawataki kushindwa mwisho wa siku wanadanganya watu.Leo wanataka wakwambie mpaka linavyotembea au linavyozunguka.

Mfano leo hii katika imani yetu sisi tunaamini ya kuwa Allah ana mikono miwili tena yote ipo upande wa kulia,sasa ukiniambia nikwambie mikono yake ipoje mimi sijui jinsi ilivyo anajua yeye mwenyewe Allah,mimi kazi yangu ni kumuelezea kama alivyojielezea yeye mwenyewe au kama mtume alivyomuelezea.

Mathalani birika lina mkono,na nyani ana mkono na binadamu ana mkono,swali je kwani mkono wako ni sawa na mkono wa birika au mkono wa nyani ?

Kwahiyo vitu vingine havitaki kujifaragua na kujitutumia na kuleta ma nadharia geu geu.
 
Una amini kuna sayari nyingine zaidiya dunia? Kama jibu ni ndiyo, je kwa mantiki hiyo kila sayari ina jua lake?
Maana kwa kusema kuwa jua linazunguka dunia itabidi kila sayari iwe na jua lake.
Mwezi unazunguka dunia, sina hakika kama hili unakubariana nalo au unapingana nalo. Kama unakubariana nalo mbona hatuoni mwezi ukitemembea kama jua pale unapoandama.
Nachojaribu kusema ni kwamba jua kuchomoza west to east hakumaanishi kwamba linazunguka dunia maana hata mwezi unazunguki dunia lakini haonekani kutokea west ukazamia east.
Kuhusu dunia kuwa flat, mbona hakuna aliyefila kwenye mpaka wa dunia?
Na kama iko flat mbonaaliyeko china akinyoosha westatafika amerika na hivyo hivyo akinyoosha east atafika amerika pia. Je hili unaliezea vipi?
 
Hehehe, I gotta say nimekua dissapointed sana kuona hili swali linatoka kwa Chief Mkwawa
Ukiwa kwenye helicopter bado utakua unazunguka na dunia, dunia inavyozunguka inahusisha na kila kitu ndani ya atmosphere yake, kwa hiyo kama unataka dunia izungue ikuache basi toka kabisa nje ya dunia, toka kwenye hii atmosphere kabisa ndipo dunia itakuacha. Au hujawahi sikia geostationary satellites zinapewa velocity sawa na rotation ya dunia kwa hiyo zinakua kama zina-anguka while zinaendelea kuzunguka at the same time.

Alafu unachanganya rotation na revolution, ndiyo dunia inavifanya vyote kwa pamoja lakini unavyosema jua kuzunguka dunia hapo ni revolution sio rotation, ila unavokua kwenye helicopter unajaribu kuongea rotation. Hehehe! man, hizi concepts rahisi sana kuzielewa nilitegemea hili swali litoke kwa mtu ambaye hata hajawahi maliza form 4.
 
Chief-Mkwawa,

Kwanza tambua ya kwamba Sayari yetu ya Dunia inazunguka kwenye muhimili wake, halafu unavyoruka na ndege bado umo Duniani sasa kwanini Dunia ikuache wakati wewe umo ndani yake?

Dunia haiwezi kukuacha wewe ndiyo unaweza kuicha Dunia kama ukifikia mwendo (escape velocity) fulani then utatoka kwenye Sayari ya Dunia na kuingia space!

Satelite kwanza haipo Duniani na kila Sayari ina njia yake, ukikokotoa Kepler's Equations nafikiri kanuni ya pili ya Kepler itakwambia pamoja na Gravitational Law utapata jibu ni kwanini sayari zinabakia kwenye njia zake na hazianguki!

Kwan mkuu ww upo ndan ya dunia au juu ya dunia?
 
Una amini kuna sayari nyingine zaidiya dunia? Kama jibu ni ndiyo, je kwa mantiki hiyo kila sayari ina jua lake?
Maana kwa kusema kuwa jua linazunguka dunia itabidi kila sayari iwe na jua lake.
Mwezi unazunguka dunia, sina hakika kama hili unakubariana nalo au unapingana nalo. Kama unakubariana nalo mbona hatuoni mwezi ukitemembea kama jua pale unapoandama.
Nachojaribu kusema ni kwamba jua kuchomoza west to east hakumaanishi kwamba linazunguka dunia maana hata mwezi unazunguki dunia lakini haonekani kutokea west ukazamia east.
Kuhusu dunia kuwa flat, mbona hakuna aliyefila kwenye mpaka wa dunia?
Na kama iko flat mbonaaliyeko china akinyoosha westatafika amerika na hivyo hivyo akinyoosha east atafika amerika pia. Je hili unaliezea vipi?
Mwezi unatembea mzee ila sijui kama unazunguka dunia.Pili kwangu mimi jua ni moja tu kama yapo hayo mengine watwambie au niambie.Na kama kungekuwa na ma jua mengine tungeambiwa mzee.

Halafu ukiambiwa kitu yaani mwezi unatembea au kuzunguka sio lazima mpaka uone mzee.Na kutembea kwa kitu sio mpaka kitoke magharibi kwenda mashariki au mfano wa hivyo.

Halafu kwenye suala la jua sis tumeshaambiwa kwenye kitabu hakuna haja ya kuleta au kusikikiza nadharia za watu.Na jua lina chomoza mashariki na lizama magharibi na ukiona siku limechomoza magharibi na kuzama mashariki ujue kiama hicho kipo karibu sana.
 
Una amini kuna sayari nyingine zaidiya dunia? Kama jibu ni ndiyo, je kwa mantiki hiyo kila sayari ina jua lake?
Maana kwa kusema kuwa jua linazunguka dunia itabidi kila sayari iwe na jua lake.
Mwezi unazunguka dunia, sina hakika kama hili unakubariana nalo au unapingana nalo. Kama unakubariana nalo mbona hatuoni mwezi ukitemembea kama jua pale unapoandama.
Nachojaribu kusema ni kwamba jua kuchomoza west to east hakumaanishi kwamba linazunguka dunia maana hata mwezi unazunguki dunia lakini haonekani kutokea west ukazamia east.
Kuhusu dunia kuwa flat, mbona hakuna aliyefila kwenye mpaka wa dunia?
Na kama iko flat mbonaaliyeko china akinyoosha westatafika amerika na hivyo hivyo akinyoosha east atafika amerika pia. Je hili unaliezea vipi?
Kuhusu unyoofu wa dunia ? Sijakuelewa hapo.
 
Wataalam wanasema mbaka sasa binadam anatumia aslimia arobaini yauwezo katika ubingo wake tutapata majibu kamili akitumia aslimia themanini ndoninavyo amino mimi
Hao wataalamu ubongo wao unafikiria kwa asilimia ngapi mpaka wameweza kugundua kitu ambacho kipo nje ya uwezo wao wa kufikiri?Wametumia nini kuthibitisha?
 
Kaka mfano wako nimeulewa sana..............

Mambo vipi abdulrahmana !!

Ningependa nikujibu maswali yako. Angalizo, sijasoma kila bandiko katika uzi huu hivyo huenda kuna baadhi ya maswali yameshajibiwa.

Hata hivyo utaratibu wangu wa kujibu ni huu,
  1. Kusiwe na jazba
  2. Mjadala uwe wa hoja na ushahidi pale inapowezekana. Kupinga jambo kuwe kwa kufafanua hoja/ushahidi na si kauli tu.
  3. Mjadala huu ni wa kisayansi/kitaalamu hivyo baadhi ya mambo yanaweza yakawa magumu kidogo kuyaeleza kwa lugha rahisi. Huenda hisabati au sayansi ya juu italazimika kutumika kufafanua baadhi ya dhana. Hivyo jiandae kusoma, kufikiri na kutafiti.
  4. Sitajadili dini ama vitabu vya dini. Mjadala ni wa sayansi.
  5. Huenda nisiweze kujibu/nisiwe na ufahamu wa kila swali lakini nitajitajidi kujibu mengi kama si yote.
Karibu uulize maswali.
 
Unaweza vipi kuujua ukweli kupitia sayansi ?
 
Asante kwa swali zuri, fupi lakini gumu kidogo.

Najibu hivi:
Sayansi ina msingi wake wa kuutafuta/kuujua ukweli. Msingi huu ni utafiti/research. Ili jambo liwe ndiyo (ukweli) ama siyo (uongo) linahitaji kufanyiwa utafiti ambao huja kuthibitisha juu ya uwepo wa ukweli huo. Mfano ikiwa tuko mwaka 1902 au kabla na swali likawa: je, madai kuwa binadamu anaweza kutengeneza chombo ambacho kitatumia injini kuruka angani na yeye akakitumia kama usafiri ni kweli au si kweli? Haya tuutafute ukweli kisayansi (wakati huo).....

Basi ikiwa watu watatumia msingi wa sayansi (utafiti) kuchunguza na kujaribu hili, basi mwaka 1903 kunge/kulitengenezwa ndege ya kwanza ya injini (powered) (ya namna hiyo). Wagunduzi hawa waliitwa Wright Brothers (Wilbur na Orville). Hivyo tulijua/tunajua ni kweli (ukweli) kuwa binadamu anaweza kutengeneza ndege......
___________________________________________________________
Ziada:
Kwa kuwa umezungumzia ukweli ngoja nimalizie kwa kumnukuu (tafsiri ni yangu) mshindi wa tuzo/tunzo ya Nobeli ya Fizikia ya Kwanta (Quantum Physics), Niels Bohr, juu ya ukweli.

"Uongo hutenguliwa na ukweli na ukweli hutenguliwa na ukweli mkubwa zaidi."
 
Back
Top Bottom