Je ni kweli baraba ya Ubungo - Chalinze inapanuliwa hivi karibuni?

Soki

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
1,303
279
Kuna ubomoaji unaendelea. Nilimuuliza jamaa mmoja kujua kwanini amebomoa na kurudisha nyuma sehemu yake ya biashara, akasema wamepewa notice ya two weeks, na kusema wameambiwa kuna mhisani amepatikana wa kuipanua. JE KUNA MWENYE DETAILS?
 
Back
Top Bottom