Je ni kwel

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
Imepita yapata kama miez 2 toka nimutongoze na akanikubalia lakini chakushangaza ananiambia kwamba yeye ni bikira so hawezi kuja kufanya mapenz kamwe maishani.nikimuuliza hasa 2takuwa 2naishi hivi hivi kama m2 na kaka mpaka lini?anachonijibu ni kwamba kuwa na mpenz si kwamba lazima ufanye mapenzi pia si lazima uolewe.nikamuuliza tena so unamaanisha hutaki kuja kuolewa?anajibu ndio sijikuolewa kamwe tena anasisitiza...sasa wasi wasi wangu je pana ukwel wowote juu yamaneno yake au ananizuga atakuja kunipa ki2.pia kama ndo msimamo wake ndo huwo ni kweli kuna mapenz kama hayo au napigwa changa la macho?naomba msaada
 
Mmmh... Sasa unamng'ang'ania wa nini? Tafuta mwingine bana..
 
hana lolote, muongo tu huyo! ashapigwa kitambo huyo, anakuzingua tu, mkomalie akupe kacholi hiyo
 
Una uhakika ni mwanamke kamili?na kama ndio jua kabisa hakupendi na anataka uchukue time zako sa ingne si lazima uambiwe direct sawa eh? Its very strange that someone says she wont ever have sex,akili za kuambiwa changanya na zako sawa eh?
 
Kaka lakn mbona respons iko pouwa .lakn nikifika hapo anabadilika kabisa .hasa sijui kama ndo msimamo wake utakuja kuchange au la
 
Hivi kwa nini hakuna jukwaa la wa under 18 au 20..wangekuwa wanasuluhisha mambo yao huko.
 
Imepita yapata kama miez 2 toka nimutongoze na akanikubalia lakini chakushangaza ananiambia kwamba yeye ni bikira so hawezi kuja kufanya mapenz kamwe maishani.nikimuuliza hasa 2takuwa 2naishi hivi hivi kama m2 na kaka mpaka lini?anachonijibu ni kwamba kuwa na mpenz si kwamba lazima ufanye mapenzi pia si lazima uolewe.nikamuuliza tena so unamaanisha hutaki kuja kuolewa?anajibu ndio sijikuolewa kamwe tena anasisitiza...sasa wasi wasi wangu je pana ukwel wowote juu yamaneno yake au ananizuga atakuja kunipa ki2.pia kama ndo msimamo wake ndo huwo ni kweli kuna mapenz kama hayo au napigwa changa la macho?naomba msaada

Sijawahi kusikia, labda anataka kupima kama kweli una-upendo wa kweli toka moyoni au upendo wako uko juu ya nanii yake! Jaribu kuvuta subira kidogo, yumkini ukafikiriwa baadaye ukishinda huo mtihani. Ukiona miezi inakatika na msimamo haubadiliki, hapo unaweza kuanza mdogo mdogo kutafuta mwingine.
 
Kama unao mda mchafu wakumpa somo subiri la huna uko busy kusaka maisha asikumize kichwa,hukuambiwa yuko umeambiwa yuko....
 
utoto una mambo mengi sana, mna miaka mingapi???

Ni kweli, anaweza asikupe kabisa kwa sababu wewe ni mtoto mwenzie hujui jinsi ya kumfungua kwenye makaratasi kigori.

Ila akikutana na mwanamme aaah, anamtafuna ndani ya muda mchache sana.

Kifupi, 'up your game' kabla wajanja hawajampitia.
 
Back
Top Bottom