je ni kiongozi gani wa serikali mwenye sifa hizi?

mchwa

Member
Apr 21, 2012
8
4
  1. Mwenye mapenzi ya kweli na dhati na kujivunia Utaifa wake
  2. Mwenye kujali na kulinda maslahi ya Taifa lake na watu wake
  3. Mwenye uwezo wa kupanda mbegu imara ya Uzalendo kwa kila mwananchi bila kujali itikadi, rangi, kabila, dini, elimu, umri au jinsia
  4. Mwenye uwezo wa kuhamasisha na kuchochea juhudi za maendeleo ya jamii, umma na Taifa
  5. Mwenye nidhamu, watiifu, kuwajibika, tija, ufanisi, kujituma na ufuatiliaji wa hali ya juu
  6. M wenye usikivu, uungwana na unyenyekevu kukiri makosa, kukubali kukosolewa na kupokea na kufanyia kazi maoni ya wengine
  7. Mwenye uwezo wa kufanya kazi, kufikiri, kuwa na upeo na wepesi wa kukabili na kufanya maamuzi magumu
  8. usiolea uzembe, ubaguzi, unyanyasaji, uhujumu, ubadhirifu, rushwa, kudharau, kudhalilisha, kujuana au kulinda maslahi ya wachache au kikundi Fulani
 
Back
Top Bottom