Je,ni halali kumtuhumu mwenzio mwanzo wa safari?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,631
4,509
Hii imemtokea dada mmoja na kaja kwangu kunisimulia na kilio juu,anasema baada tu ya ndoa yao wakiwa honeymoon jamaa akamwambia tumefunga ndoa sasa,mimi na wewe ni wazima hatuna ugonjwa wowote wa zinaa kwa hiyo ikitokea tu tukapata gonjwa lolote la zinaa basi lazima utakuwa umelileta wewe maana mimi najijua ni mwaminifu,sasa binti ananiuliza ndoa ataiweza kweli kwa biti hilo alilopigwa na jamaa?
 
Mi naona jamaa alichokifanya ni sahihi kabisa na kama ameanza kulamika kwa Jamaa na marafiki kuhusu maisha yao ya Ndani basi hatoshi na ndio maana jamaa amejihami mwanzo.Na wewe amekusimulia una uhusiano gani naye? Au usikute wewe ndio walale mnajifanya washauri uchwara huku mnamega

Baba mie simo humo nimefunga nadhiri ya kutowagusa viumbe hawa mpaka nitakapotimiza malengo yangu kimaisha na sasa namalizia mwaka wa tano sijachakachua.Na hilo ndio lililo msukuma mtoto wa watu kuja kwangu kuomba ushauri kwani ananiamini kuliko kiumbe yeyote hapa duniani.
 
Kaka akija siku nyingine mwambie asipende kuomba sana ushauri wa nje wakae na mumewe wamalize na si kuomba ushauri huku akikulilia.Lengo la kulia ni ili aonewe huruma au?
Baba mie simo humo nimefunga nadhiri ya kutowagusa viumbe hawa mpaka nitakapotimiza malengo yangu kimaisha na sasa namalizia mwaka wa tano sijachakachua.Na hilo ndio lililo msukuma mtoto wa watu kuja kwangu kuomba ushauri kwani ananiamini kuliko kiumbe yeyote hapa duniani.
 
wameoana ya nini tu labda....... maana sioniupendo hapooo
kama kweli alimpenda asinge dhubutu kabisa kusema hayo.....
kuna njia nyingi sana ya kusema hayo aliyo yasema kuliko kumuumiza mwenzi roho kiasi hicho....
mambo mengine bwana mi yananitia kichefu chefu ,,,,,
 
hee siku huyo mwanamke akitaka kucheat lazima atakumbuka maneno ya mumewe...ila na yeye alitakiwa amchimbe biti mumewe pia!:embarrassed:
 
Baba mie simo humo nimefunga nadhiri ya kutowagusa viumbe hawa mpaka nitakapotimiza malengo yangu kimaisha na sasa namalizia mwaka wa tano sijachakachua.Na hilo ndio lililo msukuma mtoto wa watu kuja kwangu kuomba ushauri kwani ananiamini kuliko kiumbe yeyote hapa duniani.
heheheeeee,siku ukiachia utajaza ndoo na kidumu
 
Baba mie simo humo nimefunga nadhiri ya kutowagusa viumbe hawa mpaka nitakapotimiza malengo yangu kimaisha na sasa namalizia mwaka wa tano sijachakachua.Na hilo ndio lililo msukuma mtoto wa watu kuja kwangu kuomba ushauri kwani ananiamini kuliko kiumbe yeyote hapa duniani.

Inasikitisha kuwa anakuamini wewe kuliko hata mwandani wake au mtu mwingine ambae ni mwanamke mwenzie.
 
Aaaahh wapi, hivi mnajua defence mechanism kwa kina???
Kwa taarifa yenu haya ni maandalizi ya usaliti bila lawama....
 
Hii imemtokea dada mmoja na kaja kwangu kunisimulia na kilio juu,anasema baada tu ya ndoa yao wakiwa honeymoon jamaa akamwambia tumefunga ndoa sasa,mimi na wewe ni wazima hatuna ugonjwa wowote wa zinaa kwa hiyo ikitokea tu tukapata gonjwa lolote la zinaa basi lazima utakuwa umelileta wewe maana mimi najijua ni mwaminifu,sasa binti ananiuliza ndoa ataiweza kweli kwa biti hilo alilopigwa na jamaa?

Mwenye macho haambiwi tazama
Akufukuzaye akwambii toka
 
Biti la namna hiyo inawezekana ana doubt tabia ya mkewe, ingawa na yeye anatakiwa asimnyoshee kidole mwenzake!!!
 
Sasa kama hana wasiwasi analia nini?Na yeye angemjibu kua hawezi kufanya hivyo kwahiyo likitokea lolote yeye (mume) ndo mhusika!
 
Wakishaleteana ukimwi hakuna atakayekumbuka kumlaumu mwenzie. Watakuwa wanauguzana. Mwambie huyo dada ampelekee tu hako kaugonjwa. Namuona kama hajatulia vile. Ni kawaida kukumbushana kuwa makini. handsome boy wangu huwa ananiambia hivyo ila namwambia ikitokea na mimi nitajua ni yeye. Hakuna cha kuhofia hapo. Dada awe makini maana hako kaugonjwa ni noma.
 
hii imemtokea dada mmoja na kaja kwangu kunisimulia na kilio juu,anasema baada tu ya ndoa yao wakiwa honeymoon jamaa akamwambia tumefunga ndoa sasa,mimi na wewe ni wazima hatuna ugonjwa wowote wa zinaa kwa hiyo ikitokea tu tukapata gonjwa lolote la zinaa basi lazima utakuwa umelileta wewe maana mimi najijua ni mwaminifu,sasa binti ananiuliza ndoa ataiweza kweli kwa biti hilo alilopigwa na jamaa?

hahahaaa, we kweli paka mweusi, bila shaka haya maongezi mliyafanya mkiwa peke yenu chumbani kwako, kama anakuuliza wewe kuwa ndoa ataiweza?, inaelekea mna uhusiano wa kumegana kitambo, na wakati anaolewa alikuja kukuambia kwamba anataka kuolewa na ukakubali maana inaonekana wewe sio muoaji.
 
Back
Top Bottom