Je ni haki?

wanawake mikwala mingi tu lakini ukizijulia paswedi zao hamna kitu! ukijua namna ya kumuangalia tu utakaona kanalegeza masharti. halafu katachenji topiki katajifanya " hani nilikuwa nakutania tu twende tukaslipu tugeza.....! deh deh deh emu veri ekspiriensi na hii jinsia ya upinzani aka mawaifu tu bii.
 
mie nikimuudhi huwa wa kwanza kumuomba radhi tena kwa kumbembeleza....baada ya hapo ndio tunaendelea na mengine.

Na anayo haki ya kukaa au kukubali hiyo radhi uliyomwomba kwa siku hiyo! Kwa hiyo siku hiyo atakunyima mtarimbo....halafu siku akikubali hiyo radhi uliyoo omba ndipo utapewa! Au?
 
Na anayo haki ya kukaa au kukubali hiyo radhi uliyomwomba kwa siku hiyo! Kwa hiyo siku hiyo atakunyima mtarimbo....halafu siku akikubali hiyo radhi uliyoo omba ndipo utapewa! Au?

of course...lakini cwez kuanza moja kwa moja nikaingia kwenye hiyo ishu, then kama nilivyosema mara nyingi huwa nasamehewa coz najua kumbembeleza/kumpetipeti pale ninapoona cjamtendea haki....
 
of course...lakini cwez kuanza moja kwa moja nikaingia kwenye hiyo ishu, then kama nilivyosema mara nyingi huwa nasamehewa coz najua kumbembeleza/kumpetipeti pale ninapoona cjamtendea haki....

hahaaa hata simba jike anazaaa (usininukuu Nyamayao puliiiiiiiiz sweetie)
 
of course...lakini cwez kuanza moja kwa moja nikaingia kwenye hiyo ishu, then kama nilivyosema mara nyingi huwa nasamehewa coz najua kumbembeleza/kumpetipeti pale ninapoona cjamtendea haki....

Tehe tehe tehe! Umeshinda Nyamayao.........!!! Leo Ijumaa, sijui ungependelea kinywaji gani? You can have a drink on me!
 
huu mjadala lah itabidi kesho nipitie post moja bada ya nyingine zen nitoe tathimin yangu upande wa kina He/She
 
haaa nimeishilia kucheka tu, sawa bwana bht.

asante cheka kwa afya yangu bibie!!!! (ujue wewe ulivo kichwa ngumu ndo maana hiyo komenti) haaaaaa!!!! all in all I admire you ( kinda birds of the same feathers hivi!!!!!!!)
 
Sijui kama ni haki au laa.Ila nakumbuka kuna siku wife alinichefua kidogo nikanuna mtoto wa kiume.Kitandani sasa,oooh mara mume wangu naona umechoka sana,ngoja nikukande basi, mie kimya mara mtoto wa kike akaanza kuukanda mgongo baada ya kuridhika na kazi yake akaniambia geuka basi,nikajifanya sikusikia.Nikageuzwa nikawa nimelala chali,shughuli iliyofuata hapo mwisho wake sinahaja ya kumalizia.

Ofcourse nilicheza chini ya kiwango kitu kilichosababisha aombe round ya pili,nikamwambia itabidi mechi irudiwe asubuhi.Asikwambie mtu ile mechi ya asubuhi ilikuwa babu kubwa na maisha yakaendelea.Pia nakumbuka kuna siku nilimkosea sasa baada ya kujadili kwa muda mrefu bila ya kufika kikomo,nikajikuta mikono yangu ikianza kubalizi,nayakumbuka maneno haya,"Naona umeamua kuninyamanzisha"

Jamani msinyimane tafadhari,peaneni....ebooooo
 
KWa kweli hapa ndipo ninapochoka so si haki kunyimwa hata kama umemuudhi mkeo? Enyi waume acheni ubabe wenu kuweni soft muone mbona hamtuelewagi? Nimeuliza mbona wakati wa ugirlfriend na boyfriend mlikuwa mnabembeleza hamjanijibu au wengine nyumba ndogo ina haki ya kubania na njema ukanywea hadi kunakucha? Mnatuonea tu wake zenu wapendwa.
 
Back
Top Bottom