Je ni haki?

Mi namshukuru Mungu kwa kuninyima uvumilivu! Game lazima acheze! Na kwa hasira siku akiwa kwenye joto anahitaji huduma, mtarimbo unaweka mgomo. Sijui atauamshaje bila hiari yangu?

Xpin hebu ongea taratibu hapa maana wengine huwa hatuhitaji go ahead na kuamka utaamka tu upende usipende
 
nipo akili kichwani endelea
na kwa kuongezea tu kidogo unapomnyima mwenzio kitu yake ndo unampa tiketi ya kwenda kutafuta za kulipia

toba.....sasa mtu kanikera/kaniudhi cwez/cjickii kufanya hilo tendo, nijilazimishe coz ataenda kutafuta nje? nje wanatafutaga tu kwa visababu vyao wenyewe hii sio kabisa....
 
nipo akili kichwani endelea
na kwa kuongezea tu kidogo unapomnyima mwenzio kitu yake ndo unampa tiketi ya kwenda kutafuta za kulipia
cheki senksi hapo juu!!!.................baelezeee!!.
jaribu no entri kwa wiki uone kama mambo haya hayatabadilika

1) kukutana zaidi na marafiki zake
2) kuchelewa kurudi coz alikuwa na marafiki zake
3) Kwenda sight.......hata kama ndo kwanza kakiwanja kamenunuliwa
4) Kwenda ofisini jumamosi
5) nk
 
huyo jamaa anafaa kuwa mchungaji achunge kondoo wa bwana

hakuna hiyo, ni coz nafata ubinadamu zaidi....naanza kwa kuomba samahani na kukubaliana mambo mengine ndio tunaendelea na kidali po, sio tu m2 ukurupuke umemboa mwenzio/mkera then utake tu tuanze, big no...lazima kuwe na maelewano kabla ya tendo...kisa cha kuchbuuka kisa nafanya kwa manung'uniko ni nini?
 
Maslahi binafsi shurti yatetewe! Yani tugombane kwakuwa sijakupitia kazini, au nimesusia send off party ya rafiki yako, afu ugomvi huo usababishe mtarimbo ukose haki yake! Mama utatoa mzigo, utake usitake. Usipotoa ushirikiano poa tu bora nshakojoa nna shida gani?

yani kweli mna wake wapole na kwa hilo nawapa big up. mi sikubali aisee, yani nikishanuna mie ni no entry mpaka msamaha upitishwe.
 
toba.....sasa mtu kanikera/kaniudhi cwez/cjickii kufanya hilo tendo, nijilazimishe coz ataenda kutafuta nje? nje wanatafutaga tu kwa visababu vyao wenyewe hii sio kabisa....

kweli tuko tofauti shost mie akiniuzi ..lakini akionyesha ishara za kuhitaji tundi namwachia tu ingawa atagundua perfomance ya leo si kiwango ,
labda nimfumanie ndo nitamnyima
 
nitaridhika tu!..nitakuwa NIMELEWA,MI NIKIKOJOA TU BASI...MBONJI MPAKA ASUBUHI:D

YE NI MIHASIRA YAKE ATAJIJUA!

Ushirika wa kweli ambao mlikabidhiwa mbele ya mashahidi hauruhusu terminology ya "atajiju" la msingi ni kuangalia tatizo na kulitatua kwa njia za amani, kwa kuwa kwenye hali tete katika familia (kitanda) hakuna anaye faidika. Ni vyema kukubali mapungufu pale yanapojitokeza kama binadamu, halafu kutafuta suluhu ya kudumu kwa njia ya majadiliano ya pamoja (collective bargaining) mwisho wa yote mtafurahi na kusahau yaliyopita. Kwani binadamu mkamilifu hajazaliwa bado!
 
ni haki ya wandoa wote wawili sasa kama ntafanya nikiwa out of mood si nadhulumiwa kabisa hapo!!!!!

BTW hivi ndo zinaitwaga conjugal rights eeh???
Chumbani ni mahali pa kupumzika na kutekeleza sera ya kilimo kwanza..kwishinei!! Sio baraza wala mahakama...........kuyazungumzia maugomvi chumbani siwezi ruhusu.

Kama umekasirika sana basi usiingie chumbani......mi nikikukuta chumbani naamua cha kupanda Maharage, choroko, njugu mawe ect, mi si ndo mkulima?? shamba linaweza kunigomea kupandwa? weeeee!
 
cheki senksi hapo juu!!!.................baelezeee!!.
jaribu no entri kwa wiki uone kama mambo haya hayatabadilika

1) kukutana zaidi na marafiki zake
2) kuchelewa kurudi coz alikuwa na marafiki zake
3) Kwenda sight.......hata kama ndo kwanza kakiwanja kamenunuliwa
4) Kwenda ofisini jumamosi
5) nk

akianza hivyo na mimi naanza sababu hizohizo, yani inakuwa bilabila
 
za kinyamayao zinalipa asikwambie mtu!!! nasisitiza hali mpaka tufikie mwafaka

muafaka ni muhimu ili watu mu enjoy,...sasa uta enjoy vipi wakati bado una hacra zako, hata romance itakuwa kama unalamba magadi.....
 
Mbona wakati wa ugalfriend na uboifriend mlikuwa mnabembeleza tena hata bila kuwaudhi? Mlikuwa mnakumbuka kununua na mauwa ya baby please!! Kwa nini mnashindwa kuwabembeleza wake zenu pale mnapowaudhi? Au ndo yale ya nimekuoa na nimekutolea mahari?
dah! hapa umeshambulia ikulu! greti thinka nasema "no komenti"
 
Kweli nyamayao but mbona wanakimbia kujibu kama wao ndo tumewaudhi halafu pruuuu tunakimbilia gemu watatupa?

Mwengine utakuta anajua kabisa amekubore na atajichelewesha kurudi nyumbani au kuingia chumbani kwa kuhofia kusemwa na atavizia umeshapitiwa na usingizi then anapanda kitandani na kuanza kukugusisha na tochi kama anagonga hodi vile!!

haaa nimecheka balaa, yaani nakwambiaje MJ1 mie kwangu hiyo haipo yani hata duu kabisa,bora akubali makosa tuendelee, hata aingie kitandani saa 6 uzi wangu ule ule.
 
kweli tuko tofauti shost mie akiniuzi ..lakini akionyesha ishara za kuhitaji tundi namwachia tu ingawa atagundua perfomance ya leo si kiwango ,
labda nimfumanie ndo nitamnyima

kweli tupo tofauti, mie ata feel tu joto la mwili, na atahangaika ucku kucha mie kama nimefariki vile...
 
Chumbani ni mahali pa kupumzika na kutekeleza sera ya kilimo kwanza..kwishinei!! Sio baraza wala mahakama...........kuyazungumzia maugomvi chumbani siwezi ruhusu.

Kama umekasirika sana basi usiingie chumbani......mi nikikukuta chumbani naamua cha kupanda Maharage, choroko, njugu mawe ect, mi si ndo mkulima?? shamba linaweza kunigomea kupandwa? weeeee!

du jamani ndoa zina mambo, sasa mambo yetu ya faragha tutayazungumzia wapi kama c chumbani?
 
hakuna hiyo, ni coz nafata ubinadamu zaidi....naanza kwa kuomba samahani na kukubaliana mambo mengine ndio tunaendelea na kidali po, sio tu m2 ukurupuke umemboa mwenzio/mkera then utake tu tuanze, big no...lazima kuwe na maelewano kabla ya tendo...kisa cha kuchbuuka kisa nafanya kwa manung'uniko ni nini?

Na wewe siku ukimuuzi akikubania mtarimbo pia usilalamike!
 
Back
Top Bottom