Je ni haki kwa watawala kuahidi ahadi mpya kwa wapiga kura?

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Salaam wana JF! Naomba kusaidiwa kama ni jambo la msingi kwa chama kinachounda serikali kinamnadi mgombea wake kwa kutumia ahadi mpya kabisa kabisa badala ya kutumia ahadi ambazo mathalan marehemu aliziacha.Katika nchi hii nimegundua kwamba umasikini hausababishwi na uvivu wa watanzania bali viongozi kwa sababu wengi wao kwao wanafanya kazi bila kumuogopa Mungu wa kweli eg.LUSINDE,SENDEKA,MAJIMAREFU nk.Na kama ukipima majimbo ya hawa wabunge ni masikini wa kutupwa.
 
Inashangaza maana jimbo la Arumeru CCM ndio walikuwa nalo miaka yote so wakati huu ulitakiwa uwe ni wa kupitia ilani na ahadi za ccmkwenye jimbo hili kunagalia zimetekelezwa kwa kiasi gani na progress ipoje kuja na ahadi nyingine mpya wakati zile za zamani hazijatekelezwa hata moja ni kuwahadaa wana Aumeru tuwakatae CCM, wao ni mabingwa wa kutukana na kukashifu tu hawana sera!!
 
Back
Top Bottom