Je, Ni Haki Kuwavisha FFU Mavazi Haya?

POLISI+3.JPG

Kwa kufuata hali ya hewa ya Tanzania, je ni haki kuwavisha mavazi haya askari wetu wa FFU?
Picha kwa Hisani ya SUMO

:confused2:Hebu pendekeza wewe ulitaka wavae nini? T-shirt na jeans au wavae kata K? kwani wewe ni mtalaamu wa mambo ya kijeshi au unajisemea tuu? na kwanza unjaua wako nchi gani?
 
Sio kila sehemu Tanzania ni joto. jifunze jiografia kwanza

1. Hata kama wangeyavaa Arusha au kileleni mwa Kilimanjaro ingekua joto ni palepale.
2. Angalia background ya picture, angalia huyo mtu amevaa mavazi gani.
3. Tanzania nzima hakuna sehemu yoyote inayofikia below zero hayo ni mavazi ya below zero.
Bahati yako sina muda ningekukosoa kwa mengi.
 
danganya toto tu hiyo, hakuna ujuzi wala nini hapo na vimishahara vyao vya laki moja kwa mwezi wamebaki kuwa vibaraka na vigagula wa CCM, hili na tabaka linalokwamisha mabadiliko katika taifa hili lenye uozo wa kutisha

Mishahara imeingiaje hapa na wewe? kama wewe una mshahara mkubwa kivyako.
 
sijui sawa kusema "Ni HAKI"?! LABDA HAKI KWA MAANA YA UTAWALA WA JK..HIYO ITAKUWA HAKI YAO YA KUVAA HAYO MATUBWANA..LAKINI LABDA KMA WANAOGOPA WANAINCHI, AU WANALINDA USALAMA WA WATAWALA, TUNGETEGEMEA PIA ULINZI WA AFYA YA JK NAO UANGALIWE UPYA MAANA PAMOJA NA KUWA AMIRI JESHI MKUU MWENYE NGUVU YOTE YA DORA, LAKINI KASHINDWA KUZUIA HOMA YA AIBU YA

:shocked:"
kumbuka na yeye ni mwanadamu kama wewe kwa hiyo kuanguka sio kwamba amejiangusha. Ungechukua fomu ya urais wewe ili uwe rais wetu ambaye unaweza kushindana na mipango ya mungu. kwani kuwa rais ndio kwamba huwezi kuugua. acha hizo wewe. ushindwe na ulegee
 
..niko interested na kumjua mfanyabiashara aliyepewa tender ya kununua madubwana yote hayo.

..sasa hao askari wanachofanya ni ku-justify manunuzi ambayo hayakuwa ya lazima.

..madubwana yote hayo ni ya nini kwa nchi kama Tanzania?

majibu wanao wanaosimamia usalama wa nchi, wewe kalagahabo usihoji sana kwani shida yako nini? au mnahojihoji tu*&^%%$$#@#@!
 
Back
Top Bottom