Je, Ni Haki Kuwavisha FFU Mavazi Haya?

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,038
23,829
POLISI+3.JPG

Kwa kufuata hali ya hewa ya Tanzania, je ni haki kuwavisha mavazi haya askari wetu wa FFU?
Picha kwa Hisani ya SUMO
 
Kwani hao wako Tanzania? Utadhani wanakabiliana na mambomu ya kemikali?
 
hawana lolote mavazi hayo wakwavalie majambazi kule,
hapo unaweza ukute wanawavali wapiga kula wasiyo hata na jiwe si umaamuma huo?
 
Mh! hiyo kali. Ina maana tayari tuko vitani ila wenyewe hatujui tu!! Kavazi hako kamoja ni dola ngapi mjomba? Ufisadi utaisha kweli?
 
Jasho la Dar na hivi hawatumii DEO, watakuwa wananuka hao, mfffffhhhhhh!!!!!
POLISI+3.JPG

Kwa kufuata hali ya hewa ya Tanzania, je ni haki kuwavisha mavazi haya askari wetu wa FFU?
Picha kwa Hisani ya SUMO
 
ni sawa tu, hata saudia na joto lote lile wanavaa hivyo hivyo... tukiwavalisha pensi utakuja juu pia?

hizo ndio standards mkuu
 
ni sawa tu, hata saudia na joto lote lile wanavaa hivyo hivyo... tukiwavalisha pensi utakuja juu pia?

hizo ndio standards mkuu
Unajua mkuu me skuelewgi elwagi kabisa,uko vuguvugu sana
 
Mh! hiyo kali. Ina maana tayari tuko vitani ila wenyewe hatujui tu!! Kavazi hako kamoja ni dola ngapi mjomba? Ufisadi utaisha kweli?

Sidhani kama ufisadi utapungua, licha ya kwisha! Saa zote jamaa wanawaza ni vipi watawahujumu Wananchi na Taifa. kabla ya mavazi hayo kulikuwa na taarifa ya kuwa hao FFU wanashindwa kufanya kazi kwa ukosefu wa Mavazi? Magongo wanayopiga watu si yaleyale na Risasi watakazorusha si zilezile, huu wizi wa mchana utakoma lini?
 
Magwanda hayo nayo ni kwa msaada wa Watu wa Marekani? Naamini wameshafanya nayo rehearsal jinsi ya kukimbizana na sisi kuanzia Octoba 31 wakati wa kutumia avatar yangu kulinda kura
 
Mchimba shimo. Wakiona Slaa anashinda, mtashangaa wanawageuka.

Ninasubiri Ki Mzee Makamba kinapata kibano. Na mwanae akija kumtetea, wanamvunjia tu miwani anakuwa kipofu.
vyama korofi dawa yao ndo imewadia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom