je ni haki kula 2ndi.

Damu ni nzito kuliko maji mkuu. You can change the myth but u cannot change the fact. Huo upendo ulionao kwa huyo msichana ndio unakupofusha hata kufikia hatua ya kukana familia yako. Angalia usije ukajikuta unajibebea mzigo wa laana kwa mambo yako.
 
Sas km babako alikukana huyo babamdogo katoka api? It mins we unajua exctly dats yo family sa s tamaa ilipokuingia unataka take advantage ya kauli ya babako kuhalalisha utam wako
 
Mmh jaman msidanganyane izo mambo za ndugu ndugu sio nzuri endelea kuangaza mbona wapo wengi au unataka ba mkubwa umwite mkwe
 
Mh ingawa ni na zamani ila sina neno..wazazi wako watajua wenyewe la kufanya
 
wewe unawaza kwa kutumia kichwa cha chini ambacho hakina ubongo.............. ndo shida yako, hebu fikiri kwa kutumia kichwa cha juu chenye ubongo.
 
Mmmh hii si mchezo.....kiutu uzima mimi nakushauri uachane na huyo dada..........mabinti wamejaa
kibao!!!

Akikosa kabisa hata buguruni aende. . Kama unajua ni ndugu yako kwanini kuwaza kula jamani, khaaaah
 
cku nyingine ukija na hivi vmada mada vyako vya kipuuzi ucsahau kuattach na cheti chako cha uchizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom