Je ni haki kuipa CHADEMA kura 2020?

Ni huruma za msajili wa vyama tu ndio inaiweka chadema mpaka sasa, ila hakina sifa za kuitwa chama cha siasa, bali kikundi cha watu.
 
Hakuna haja ya CDM kuumiza kichwa kwani mtani kakalia kigoda si chake thus why anahaha vibaya, tunasubili awavuluge nyinyiemu vizuri njia nyeupe 2020 hapa tunasubili tume huru ya uchaguzi kama si hivyo ipo siku patachimbika.
 
Back
Top Bottom