Je ni busara kwa mpenzi wako kukwambia pindi atongozwapo? Utachukua hatua gani?

Kama anakwambia wakati anapowatolea nje wanaomtongoza, basi na siku akiwakubalia sharti aje akwambie

Najua ni kweli kuwa kwa % nyingi mwanamke ameumbwa kimatamanio mbele ya macho ya wanaume hivyo kutongozwa ni lazima bt kwa leo Napenda kujua kama ni jambo la busara kwa wanawake/mpenzi/mke kumwambia mwenza/mpenzi/mchumba wake wa kiume pindi watongozwapo na wanaume wengine. Na utajisikiaje/utachukua hatua gani pindi mpenzi wako atakapo kujulisha juu ya kutongozwa kwake? (kwa wanaume).
Nisaidieni kwa kulijadili hili, binafsi haijawahi kunitokea bt nimekua nikisikia toka kwa friends zangu juu ya hili.

Kwa kawaida wanawake wanapenda ku-share na wenza wao kwa yale yanayowapendeza!!! Aidha, kwa kawaida wanawake kila siku hutongozwa; wakati mwingine zaidi ya mara moja kwa siku! So, endapo mara kwa mara anatongozwa lakini anakuambia moja tu kati ya zile nyingi alizotongozwa basi hapo juwa kuna jambo!!! Kama atakuambia wakati anapita mahala akakutana na jamaa fulani akamtongoza wakati wapo wengine wengi waliofanya hivyo na hakukuambia basi juwa kwamba hilo alilokujuza limemfurahisha hivyo angependa ku-share na wewe kile kilichomsuuza roho!!! Lakini, tatizo lingine hapo ni kwamba kv atakuwa amefurahishwa na kuwa na hisia juu ya kutongozwa huko; ni lazima kwa namna fulani atajihisi hatia na kutaka ku-confirm kama ua aware kwamba ametongozwa na kupata feelings kwa huyo aliyemtongoza!!! the best thing to do ni kwamba, u need to calm down; msikilize kwa makini na wala usioneshe kuchukizwa!!! Nakuambia, hawa dada zetu hawakawi kusahau waliyoyaongea japo wiki chache tu zilizopita!!! Ukiwa makini, siku au wiki chache baadae si ajabu akaja kukusimulia mambo mengine ambayo chanzo chake ni stori ya kutongozwa aliyowahi kukupa huko nyum,a!!!! LAKINI KUBWA ZAIDI; BE ALERTED!!!

kuambiwa inategemea na uyo mwanaume mwenyewe...

ay ikiwa mwanaume mwenyewe ngumi kiunon aipit wik ajadundana na wenzake...ata km ugomv hakuna ataenda kuukopa kwa jiran...vp jiran akuna mtu anayekuzingua nkamchape..AFU ET NDO UJIFANYE ..dia yaan john jaman anansumbua uyo...ahh sasa apo unataka nini?akidundwa mpk aumizwe ..polic..asi itakuwa ujinga mwsho wa siku

lakin km ukimwona jamaa mdiplomasi enough kumweleza jambo km ili ahh sio issue cz unajua atachukulia jambo kiutu uzima no ugomv no wat..

wengne ukiwaaambia tu beb yule tom wa voda kantongoza ahh inaanzia kwako ,...anakugecha vzuri..kwanini kakutongoza?mnajuana nyinyi ..mmeshndwana uko ndo unajifanya kuleta uzandiki wako apa...braa braa braa

SO ITS OL DEPEND NA UANAUME WA MWANAUME KTK KUCHUKULIA MWAMBO..UKIMWONA BADO MATURITY+USTAARABU neh ahh unanyamaza tu...

i do tellng him..na tunafanya km kichekesho tu ..isnt bg dil zaid ya kucheka bas...

nb; inakuwa ngumu kumwambia km kila siku anakufikiria vbaya unatoka na wanaume wengne..ajiamin yaan ahh mtu km uyu uwez kumwambia cz atachukulia sivyo like mshadinyana..

duh, ushauri wako naukubali bt nahis umemiks venakula mf. Kugecha, dinyana!!

vipi kama mtu anayekutongaza ni rafiki/mshirika wa boyfriend wako, na anajua huko kwenye uhusiano, umpe punishment ya aina gani mtu wa aina hiyo?

Back
Top Bottom