Je Ni Avatar Gani unayoipenda JF?

avatar44021_1.gif
 
lol! Kwanza nijalie hali yako,pili nifafanulie huyo kloro anaefichwa ni yupi :smile:

hali yangu nzuri, kwenye jukwaa letu la malalamiko huonekani. Lol!
Kloro anahitaji kufichwa kwenye boxer mama, kloro afichwe jamani tusije tukaota usiku.
 
tangu sir god ahairishe kiama nimekuwa na akili hadi nachanganyikiwa.
Watu wa tangazo la kiama walikosea advert bana, kumbe jana ilikuwa ni rehersal, kiama rasmi kitakua wiki ya mwanzo ya June. Rehearsal ya jana iliuwa bata kibao nchini bangladesh
 
Watu wa tangazo la kiama walikosea advert bana, kumbe jana ilikuwa ni rehersal, kiama rasmi kitakua wiki ya mwanzo ya June. Rehearsal ya jana iliuwa bata kibao nchini bangladesh

hehehe! Riheso hadi kwenye vifo. Haya ngoja tusubiri hiyo pafomansi.
 
hali yangu nzuri, kwenye jukwaa letu la malalamiko huonekani. Lol!
Kloro anahitaji kufichwa kwenye boxer mama, kloro afichwe jamani tusije tukaota usiku.

sasa ukimficha nani atatuongoza kny jukwaa letu?naanza rasmi kuonekana maana kiwewe cha kiama kilinifanya nidumu kny toba
 
hehehehe! Kiama kijacho cha suprise. Sahv nataka nianze kushinda jukwaa la imani.
Kwaheri wise, kwaheri kloro.

ukishuka kule utanikuta na mkuu lordjustice1 tukuongoze kwanza sala ya toba,ukuje na kipasel chako
 
hali yangu nzuri, kwenye jukwaa letu la malalamiko huonekani. Lol!
Kloro anahitaji kufichwa kwenye boxer mama, kloro afichwe jamani tusije tukaota usiku.
khaaaa! unachafua CV mama! mchumbaangu nimemwambia nina kabamia, ustake kuharibu ndoa yangu.
 
mimi bana nikiona avatar yako tu basi nasahau hata pasiwedi yangu ya JF. idumu avatar ya wiselady! tujibuni kwa pamoja (idumuuu)

hahaha! Zidumu fikra za tablet kloro.....afu ulikuwa wapi muda wote?em twende MMU kuna mtu anachanganywa na mapenzi ukamuanzishie doz
 
Back
Top Bottom