Je neno 'Picture' na 'Photo' yana maana sawa?

Gaspare Mbile

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
1,568
1,600
Leo nimejiuliza sana nikatafakari ila sijapata jibu kuhusu hii kitu. Hivi 'Photo' na 'Picture' ina maana sawa au ni tofauti? Kama ni tofauti naomba kuelimishwa.

Asante.
 
Back
Top Bottom