Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,780
Wanawake wanamegwa na midume hovyo akiona hapati mtoto kutoka kwa mume wake wa ndoa.
Chanzo cha jitihada hizi ni kukwepa lawama kutoka kwa mama mkwe na mafiwi.
Pia wanaume wengi hawako tayari kupima afya ya uzazi.