King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 327
Salaam wana JF,
laana (curse) kwa tafsiri nyepesi ni matukio mabaya yanayoweza kumpata mtu,familia,jamii na hata taifa. Laana mara nyingi hutokana na kwenda kinyume na mwenyezi Mungu au kwa namna nyepesi dhambi... Kama dhuluma, ufisadi, kutotenda haki na dhambi nyingine.
Kwahiyo laana ni kinyume cha baraka(blessings)
mimi sio sheikh wala kasisi kulezea sana maana ya laana, but nukiangalia mambo yanayolikumba taifa langu pendwa Tz nahisi kuna harufu ya laana. Tumekubwa na obwe la siasa dhalimu yenye ubinafsi na kushabikia chama badala ya taifa, na watu wapo tayari kujinufaisha na kusababisha wengine wadhurike na kuangamia kabisa.
matokeo yake ambayo yanaonekana kama laana vile ni:-
*uchaguzi wenye mizengwe
*nchi kutotawalika vizuri
*matatizo ya umeme kila kukicha
*ajali nyingi kupindukia
*maisha magumu( under one doller)
*sasa mabomu na wengine watanufaika na tume zitakazoundwa bila kujali waathirika.
kwa mtazamo wangu, kama vile laana imeanza kuikumba taifa letu pendwa Tz na ni wajibu wa kila mmoja kukomesha laana hii kwa kila njia. Maana baadae laana inaweza kuwa critical tukashindwa kuiondoa...