Je naweza omba mkopo Loan Board nikapata kwa kutumia admision letter za mwaka jana???.....

Mdau Makini

Member
Sep 18, 2012
70
10
Waheshimiwa maisha bila mkopo Chuoni ni *MAGUMU* sijapata kuona hasa kwa sisi watoto wa wakulima Ambao tumesoma St.Kayumba Sec. school(ukipeleka ADA Elfu ishirini na Tano, basi unarudishiwa na Chenji Elfu Tano)!!.Nimeunga unga maisha mwaka wa kwanza umeisha na Sasa naingia mwaka wa Pili.ILA ninachosikitika na kutokwa machozi kila ninapokumbuka ni kwamba Tangu mwaka wa jana Faculty(course) yangu imebadilishwa kuwa Non-Priority course(haina mkopo tena) na nilitegemea kuomba tena mkopo huo mwaka huu baada ya kuukosa mwaka wa Jana.!.Nilijaribu kutuma Maombi ya mkopo hivyo hivyo(as a point of trial) kwa kutumia Admision letter zangu za Mwaka Jana na Mpaka sasa nasubiri tu bila hata matumani na majina hayajatoka mpaka sasa!.NDUGU zangu wapendwa ivi naweza kupata kweli mkopo kwa staili niliyo tumia????...au ndo nifanye elimu ndo imenishinda kwa ugumu wa maisha ninao upata kule chuoni???...au nitapata niendelee kusubiri??....Nifanyaje jamani MASIKINI Mimi??? May u save me on this please guys!!.
 
jaribu kuvuta subira uone majina yakitoka itakuaje mkuu huenda ukapata, kama ipo ipo tu mkuu pia nahic swala la non priority sio ktisho sana maana mm ni fsrt year koz non priority na nimepata, subiri majina yatoke utapata tu
 
waheshimiwa maisha bila mkopo chuoni ni *magumu* sijapata kuona hasa kwa sisi watoto wa wakulima ambao tumesoma st.kayumba sec. School(ukipeleka ada elfu ishirini na tano, basi unarudishiwa na chenji elfu tano)!!.nimeunga unga maisha mwaka wa kwanza umeisha na sasa naingia mwaka wa pili.ila ninachosikitika na kutokwa machozi kila ninapokumbuka ni kwamba tangu mwaka wa jana faculty(course) yangu imebadilishwa kuwa non-priority course(haina mkopo tena) na nilitegemea kuomba tena mkopo huo mwaka huu baada ya kuukosa mwaka wa jana.!.nilijaribu kutuma maombi ya mkopo hivyo hivyo(as a point of trial) kwa kutumia admision letter zangu za mwaka jana na mpaka sasa nasubiri tu bila hata matumani na majina hayajatoka mpaka sasa!.ndugu zangu wapendwa ivi naweza kupata kweli mkopo kwa staili niliyo tumia????...au ndo nifanye elimu ndo imenishinda kwa ugumu wa maisha ninao upata kule chuoni???...au nitapata niendelee kusubiri??....nifanyaje jamani masikini mimi??? May u save me on this please guys!!.

kaka na mimi no kama wewe ila mi
bado ni pririty cjui daah tumuombe mungu sana
 
Pole sana mdau,mimi pia mwaka jana yalnipata kama yako na hvyo nikashindwa kujiunga na chuo. Namshukuru Mungu mwaka huu nimepata Priority program na mkopo juu. Vuta subra uone.
 
Thanx, subira yavuta HERI......japo wakati mwingine duuuu mpaka kukata tamaaa aseeee Msafiri
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom