Nauliza wataalamu naweza kuzipa ubora nyimbo za bongo fleva nilizo download toka mtandao wa manase?Nyimbo nyingi zina ukubwa chini ya MB 1.Hazipig vizur.Naomben mnipe jinsi ya kuzipa ubora.
Nadhani mkuu umeeleza vizuri sana sana. nikiongezea hapo nitakuwa nataka ubishi tu. Nimegonga THANKS
inaelekea wewe umefungua hii thread kwa ajili ya hilo neno tu, teh! teh! teh!Quarity ni noma
amini usiamin hii lugha ni ngumu sana.Quarity ni noma
inaelekea wewe umefungua hii thread kwa ajili ya hilo neno tu, teh! teh! teh!
QUARITY??? come on kiswahili sanifu hatukijui na kiingereza nacho ndiyo hivyo wapi tunaelekea?????Nauliza wataalamu naweza kuzipa ubora nyimbo za bongo fleva nilizo download toka mtandao wa manase?Nyimbo nyingi zina ukubwa chini ya MB 1.Hazipig vizur.Naomben mnipe jinsi ya kuzipa ubora.