Je Naweza kutumia line ya zantel kwenye modem ya TTCL

hbi

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
678
297
Habari wanajamii, niliwai kuskia kua zantel na TTCL wanatumia technolojia ya CDMA, swali langu ni kua je naweza kutumia line ya zantel kwenye modem ya TTCL.. Mwenye ufaham juu ya hili naomba anifahamishe.. Asanteni sana
 
ni kweli zantel wanatumia cdma na modem zao hawaweki line kama ilivyo ttcl sijui wewe hiyo line ya zantel ya cdma umeitoa wapi, nina uhakika line uliyonayo ni ya gsm ambayo haikubali kwenye modem za cdma hata kama ni ya zantel wenyewe. Zantel wanatumia both gsm and cdma. Usijichanganye
 
Kama ni ttcl broadband modem najua haina sehem ya line ,,, mi nlinunua bila kujua ila bahat nzuri ilpata mteja fasta nkaiuza
 
ni kweli zantel wanatumia cdma na modem zao hawaweki line kama ilivyo ttcl sijui wewe hiyo line ya zantel ya cdma umeitoa wapi, nina uhakika line uliyonayo ni ya gsm ambayo haikubali kwenye modem za cdma hata kama ni ya zantel wenyewe. Zantel wanatumia both gsm and cdma. Usijichanganye
Okey nimekuelewa
 
Zantel wana line za cdma, ila u have to get the ofisini kwao na zilikuwa zinauzwa 10,000 the last time I checked
 
Back
Top Bottom