Je naweza kuishitaki tbc1?

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
Zanzibar wanakumbuka siku ya mapinduzi ya zanzibar ya mwaka 1963
hapa kuna maadhimisho ya miaka 50 ya tanganyika,lakini wakati wa muungano tanganyika ilikufa kulingana na serikali inavyodai,kwa maana kwamba na zanzibar nayoi ilikufa??!!!
Kwanini kusiwepo na maadhimisho ya ya mapinduzi ya tanzania visiwani na uhuru wa tanzania bara?
Je tunaipotosha historia ya tanzania au mie ndio nachanganya mambo hapa na je kuna uwezekano wa kumshitaki anyeupotosha umma kwa vyombo vyake vya habari ikiwa ni pamoja na kumuita edward lowasa eti waziri mkuu mstaafu wakati alijiuzulu kwa tuhuma nzito na akautangazia umma na huyu msela j akamkubalia
hawa tbc 1 wanaudhi
 
Ndugu hili li nchi ni la k.....ng sana achana nao dawa lao inachemka jikon 2015 ni pipoz power wana hand over
 
Back
Top Bottom