Je,naweza kuibiwa pesa benki kwa mtu kujua namba yangu ya siri?

Jamani naombeni
msaada wa haraka,nilienda kutoa pesa kwenye ATM ya CRDB na palikuwa na
mtu ambaye alinielekeza mambo flani,na huyu mtu aliona namba yangu ya
siri,je ataweza kuniibia kwa namna yoyote pesa zilizobaki? Naomba
mnifahamishe kwa hili,ili kama kuna madhara yanayoweza kutokea
niwasiliane na CRDB wanisaidie kuiblock hadi wanitengenezee namba mpya.
NATANGULIZA SHUKRANI.

M2 wangu hawezi kukuibia mpaka awe na kadi yako pia.
 
Ataiba kama ana kadi yako ya ATM. Bila kadi hawezi kuiba, it is password plus atm card.
Jamani naombeni msaada wa haraka,nilienda kutoa pesa kwenye ATM ya CRDB na palikuwa na mtu ambaye alinielekeza mambo flani,na huyu mtu aliona namba yangu ya siri,je ataweza kuniibia kwa namna yoyote pesa zilizobaki? Naomba mnifahamishe kwa hili,ili kama kuna madhara yanayoweza kutokea niwasiliane na CRDB wanisaidie kuiblock hadi wanitengenezee namba mpya.
NATANGULIZA SHUKRANI.
 
do u that ur password is a case sensitive bro,dont try that again,wezi wengine hata wakijua hyo wanaweza kukomba hela ila mara nying hadi akiwa na atm yako na wengine hata wakiona namba za kadi tu na si lazima passwrds kuna mchez anaweza kuufanya akakomba hela
 
Back
Top Bottom