Je naweza kubadilisha operating system ya simu?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,417
3,154
Nimesikia inawezekana kubadili Symbian OS kuwa Window Pnone 7 kwa simu za Nokia. Je nitafanyaje?
 
symbian ina uwezo wa ku emulate window phone na sio kuchange. Tena window phone yanyewe ni palm os version ya zamani kidogo 4.0.

Unatakiwa udownload sttyletap ili ku emulate.

Pia kuna updates za operating sytem ambazo huchange kabisa ile operating system mfano kama una nokia v^3 zinazotumia symbian ana unaweza kushift kwenda symbian belle same android pia zinafanya
 
chief mkwawa- je naweza kufanya huo mchakato (kwa kutumia Nokia E61i) bila ya msaada wa komputer?
 
chief mkwawa- msaada zaidi: nimeshindwa; kwani nimeona kuna kulipia kwa dola na trial version. Pia vp kwa upande wa android?
 
sasa si mdownload trial kwanza mtest? Na full version sio rahisi kufanya kazi kama hujahack simu. Dont ask me unahack vp threads zipo.

Utapodownload styletap itatokea folder katika memory card so nenda file manager fata path hii

E:/other/styletap

Utakapo download app yoyote ya palm utai extract au kuimove iende path hii

E:/other/styletap/db
 
Wasi wasi wangu: napata hofu kwani, kama niki-download trial version, baada ya muda itabidi nilipie; kitu kitakachozua utata...
 
symbian ina uwezo wa ku emulate window phone na sio kuchange. Tena window phone yanyewe ni palm os version ya zamani kidogo 4.0.

Unatakiwa udownload sttyletap ili ku emulate.

Pia kuna updates za operating sytem ambazo huchange kabisa ile operating system mfano kama una nokia v^3 zinazotumia symbian ana unaweza kushift kwenda symbian belle same android pia zinafanya

naomba link ya ku_upgrade nokia symbian60v3 to symbian annabelle
 
Ni rahisi sana kwa windows mobile kwenda Android na windows phone 7 kwenda windows phone 7.5
Ila it depends na model ya simu yako si zote zaweza kukubali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom