Je naweza ku-flush modem ya Sasatel?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,417
3,154
Naomba kuuliza, je naweza ku-flush modem ya Sasatel ili niweze kutumia sim card za aina tofauti? Je ntafanyaje? Naomba msaada
 
Ningependa itoke Sasatel kwenda Airtel, kwangu Airtel ndio inamanufaa
 
Impossible mkuu Airtel ni GSM yani inatuia WCDMA na Sasatel modems ni za CDMA au EVDO


mkuu habari ya kwako ndg yangu . nina mordem nilipewa ofisini kipindi cha nyuma ya ttcl sijui kama utaweza kunisaidia ku unlock ndugu yangu model ni huawei ec122 cdmaxevdo rev A usb stick fcc id q1sec122 esn 06cf716a s/n h19ms81031600716 ntafurahi sana kama utaweza nisaidia .
thanx in advance
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom