je naweza kosa haki yangu kwa kutokuijua sheria?

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
wana jamii, nahitaji msaada wenu juu ya hili! je naweza kosa haki yangu kwa kutokujua sheria? sikulipia mzigo wangu insuarance, now umepotea, naambiwa siwezi rudishiwa exact value ya mzigo wangu sababu sikuulipia insuarance! nifanye nini?
 
Yes, unaweza kupoteza haki yako kwa kutojua sheria. Na ndio hicho kinafanyika kila la leo.
ungeeleza facts zaidi. Mzigo huo ni kitu gani? (kuna mizigo mingine inaweza kuwa inalindwa kisheria automatically). Ulikuwa unausafiri kwa kupitia nini? na kwa kampuni ipi? uli-sign nao mkataba? huo mkataba umeusoma vizuri? Unaeleza nini juu ya kupotea kwa mizigo? Jibu hayo kwanza...then tutajua zaidi....
 
Back
Top Bottom