Je nawe utakwenda kutimiza ahadi?

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,139
12,283
"Siku zile amri ilitoka kwa kaisari Augusto kwamba iandikwe orodha ya watu wote wa ulimwengu" LUKA 2:1, Hii ina maana kila mtu alipaswa kurudi uyahudi kuhesabiwa.Yusufu na Maria nao wakatoka Galilaya kwenda kuhesabiwa.Na hilo ndilo chimbuko la utamaduni wa Wachaga kurudi kwao December. Je nawe umeenda kwenu kuhesabiwa?
 
Back
Top Bottom