Je nahitaji kujua sababu ya kumsamehe????

TF,
Nshasamehe sana swali langu ni kuwa je nahitaji kuendelea kujua sababu za yeye kukosea kila kosa? maana ishakuwa tabia je kuhitaji sababu si ndo kuruhusu kupewa uongo?
Unaweza ku-demand kupewa sababu ya kosa alilotenda lakini bado akazidi kukupa sababu za uongo vile vile..
 
Hello JF,
Ninapokuwa nimeudhiwa na mpenzi wangu nahitaji kujua sababu ya kwamba kwanini kafanya hivi ama vile au kumweka masharti ya msamaha?

Kusamehe ni muhimu ndugu yangu, samehe nawe usamehewe. lkn ni muhimu kujua nature ya ilo kosa ambalo linakuwa linajirudia. kama ni vijikosa vya kawaida hata akirudia mara mia samehe tu thawabu zako kwa mungu. kama ni makosa mazito mh jaribu kuchunguza source then utafute ufumbuz. ol in ol hakuna mkamilifu uku dunian ivyo tulia tu hapo hapo.
 
Msamaha ni wajibu, kujua sababu nako ni muhimu.
Ukisamehe tu, utabaki na mawazo na maswali mengi kichwani.
Bora akupe majibu yeye hata kama siyo ya kweli!
Kuweka masharti ya kusamehe ni upuuzi maana binadamu
kukosea ni ubinadamu. Masharti huchochea uasi.Mkosaji aweza kukosa kwa bahati mbaya
au kwa makusuudi.Mkosaji wa makusudi, huyu ana lake jambo.Chunguza.
 
I hope mko poa wadau,
Nashukuru kwa michango yenu na ushauri wenu, nami kama binadamu nimelewa na nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa kusamehe na kusahau yote, na leo nina uchangamfu sana kama nimetiwa ndimu. Tuendelee kujadili kwa faida ya wengine.
 
Back
Top Bottom