gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
- Thread starter
- #21
subhakheri mpenzi
RIP Nasma khamisi kikubwa..
Namheshimu sana mama huyo..
subhakheri mpenzi
RIP Nasma khamisi kikubwa..
Mie ananikosha Malkia, Leila Rashid... Can't take my ear outta sauti ya huyu mmama.
Mie ananikosha Malkia, Leila Rashid... Can't take my ear outta sauti ya huyu mmama.
Madame B we mkaree...
Je,ile sijui ya nani..
Kwako alale mbili
na kwangu alale mbiili..
Ukizidisha siku mooja
cha moto utakioonaa
nadhani Mwanahawa Ally.. Huyu bibi ni kiboko ya njia kwa Mipasho..
Yeah..
Kiukweli kila mmoja ni mweledi kwa upande wake.. Sauti,uimbaji wake,kulimudu jukwaa,kuimudu kamera,etc.
Jokha Kasim
, klorokwini nikikukamata.......
sijui modern taarab nini...nimesahau.....
Ayaaaaaa........nampenda balaa!!
Kweli taarab ikipigwa naweza ahirisha niendako na kukaa kusikiliza/kuwaangalia watu wanavyoyarudi.......,
Napenda yule mwimbaji wa jahazi aloimba domokaya, na pia Isha mashauzi......
Kukaa kimya ninaamua coz sioni haja mimi na nyie kugombana... ....natafuta maisha yangu, wala siwezi kutafutana na mtu., waja tushi kwa amani, tugawane ustaarabu, kujuana isiwe tabu!!!
Hebu tutajie majina yao halisi na kundi/vikundi wanavyoimbia??